min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hao wale tu cha muhimu wasije ing'oa hapo 😜Nakushauri kabla hamjaendelea mbele, mje niwafungishe Ndoa ya Mkeka.
Tena hakikisha kabla hajaanza Masomo ya Semester ya kwanza ameshaanza kulamba odongo, vinginevyo wale Vijana wa hovyo wa kule Chuo Kikuu lazima wakuzidi Kete 😜