Tetesi: Ni mwendo wa uhakiki watumishi wa umma kwa kwenda mbele

Tetesi: Ni mwendo wa uhakiki watumishi wa umma kwa kwenda mbele

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,603
Reaction score
3,658
Kuna uhakiki mwingine wa aina yake unakuja., nasikia unatakiwa kuwasilisha Taarifa zifuatazo.
1. Majina yako matatu
2. File namba
3. Tarehe ya kudhibitishwa kazini
4. Ngazi ya Mshahara
5. Kiwango cha mshahara
6. Ngazi ya taaluma
7. Cheo chako cha sasa
8.Tarehe ya cheo cha sasa
9. Cheo cha Madaraka

NB: Kama kuna mtu huko aliko ofisini kwake wameletewa hizo taarifa naomba atusaidie kujua kama ni kweli au uzushi tu.
 
Ni kweli. Sisi huku kwetu pwani tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ya uhakiki hata hakiki kama mtu ana panya hadi mende ndani
 
Mpaka mwezi wa Tisa ndio tunahitimisha zoezi..
 
Uhakiki uhakiki uhakiki

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Itakua kweli serikali ya Magufuli imeishiwa so wanatafuta sababu za kutowaongezea salary watumishi na wengine wasiotimiza vigezo wafukuzwe
 
Jana mkuranga hosp manes kumi na nne wamezombwa na maji,,wanatakiwa waajiriwe watu smart waliosota kwel shule kihalali
 
Back
Top Bottom