Ni kweli. Sisi huku kwetu pwani tayari.Kuna uhakiki mwingine wa aina yake unakuja., nasikia unatakiwa kuwasilisha Taarifa zifuatazo.
1. Majina yako matatu
2. File namba
3. Tarehe ya kudhibitishwa kazini
4. Ngazi ya Mshahara
5. Kiwango cha mshahara
6. Ngazi ya taaluma
7. Cheo chako cha sasa
8.Tarehe ya cheo cha sasa
9. Cheo cha Madaraka
NB: Kama kuna mtu huko aliko ofisini kwake wameletewa hizo taarifa naomba atusaidie kujua kama ni kweli au uzushi tu.
Kwahyo wale vijana wanaosubiria ajira mpya ni changa la macho? do bora tuendelee na ulozi hahah
charty more to come tiktak hazitaishaKwahyo wale vijana wanaosubiria ajira mpya ni changa la macho? do bora tuendelee na ulozi hahah