Ni Mwenyekiti gani wa CCM "B" aliyetajwa na Polepole?

Unamchumia dhambi mbowe, sababu mbowe ni chadema na polepole hajaitaja chadema kama ccm B, ACT na chauma ndio ccm B
Lakini zito na mzee wa ubwabwa bado wapo kazini hawajastaafu na kasema kwa sasa ameshastaafu.
SLOSLOW anazingua tu, si amtaje tu hata kwa nickname yake.
 
Lakini zito na mzee wa ubwabwa bado wapo kazini hawajastaafu na kasema kwa sasa ameshastaafu.
SLOSLOW anazingua tu, si amtaje tu hata kwa nickname yake.
Ni Mbowe....kumbe Chadema ya Mbowe ulikuwa CCM B dadeki!
Wanamtandao wakatuletea Lowassa, tukazungusha mikono, Hadi kalamu ya kupitia Kula militoka nayo nyumbani....
 
Ni Zitto huyo, hata mission ya kumuua Dkt Magufuli akiwa kusini ilibuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…