Ni Mwenyekiti gani wa CCM "B" aliyetajwa na Polepole?

Kwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.

Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
Code nyepesi sana ile.
 
Kabwela Mwepesi
 
Amesema Kiongozi Mstaaafu wa CCM B. Zitto alikuwa Kiongozi wa ACT na amestaafu Sasa hivi
 
Kwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.

Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
Tatizo la Pole Pole analeta magazijuto meengiii badala ya kufungua codes!
 
Back
Top Bottom