Ni Mwenyekiti gani wa CCM "B" aliyetajwa na Polepole?

Kama unataka yote hayo kwanza ungepambana Samia atoke
 
Yule wa kuchekacheka huku anakuua
 
Itakuwa ZZK maana alitangaza Maalim ana COVID na ilikuwa baada ya kutoka Chattle
 
Ziiiiiiiiiitoooooooo
 
Huyo sio yule aliyestaafishwa siasa na muhuni aliyepo ngome nafikiri mwenyewe
 

Kuna vitu vinachekesha sana 😁😁😁

Hivi watunga ilani sijui ni kina nani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…