kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Aisee... Mimi niliona kama kazungunza Kwa CODES!Zitto huyo, mbona ipo wazi ? Wala sio code!
Huyu ni Zitto Zubeiry KabweKwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.
Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
Hajawahi kuwa mwenyekiti nadhan Mbowe.
Atakua dalali Mbowe au Dalali Zitto, kama ni dalali Zitto hajawahi kuwa Mwenyekiti.Membe hakua kiongozi, hata hivyo membe sio mstaafu ni marehemu. Membe amemtaja bila kusita anapohusika. Hivyo sio membe, ni dalali
😂😂😂RIP BABALEVELL
WAMEKUINGIZACHAKA UTOBOI
Nani tena... Wazee wa mtandao? Ila Kirumbe angalau angetoa ushindani kwa zito siyo huyu mpiga domo.RIP BABALEVELL
WAMEKUINGIZACHAKA UTOBOI
Hp hajasema hiliZITTO KABWE ,KAHUSIKA KUMUUA MAGUFULI
Mzee wa MwandwigaaKwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.
Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
Polepole anasema CCM B ni CHAUMMA, ACT Wazalendo na vingine... Hajawahi kusema kuwa CHADEMA ni CCM B.Mwenyekiti msaafu wa CCM "B" alikuwa ni MBOWE.
Zitto kabwe ndio mwenyekiti wa ccm b aliestaafuWife huwa hafuatilii Sana siasa ila code ya Leo ya huyo aliyetajwa na Polepole kaifungua kuwa ni Mbowe!
Hajasema mwenyekiti kasema kiongozi.Atakua dalali Mbowe au Dalali Zitto, kama ni dalali Zitto hajawahi kuwa Mwenyekiti.