Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 1,106
- 1,678
Code nyepesi sana ile.Kwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.
Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
Alisema mwenyekiti mstaafu, kamsikilize tena.Hajasema mwenyekiti kasema kiongozi.
Zitto kabwe hajawahi kua mwenyekiti tuweke rekodi sawa. Ingawa ni kati ya Zitto au Mbowe.Zitto kabwe ndio mwenyekiti wa ccm b aliestaafu
Ulishafika Ujiji lakini? 😄Nani tena... Wazee wa mtandao? Ila Kirumbe angalau angetoa ushindani kwa zito siyo huyu mpiga domo.
Kabwela MwepesiKwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.
Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
Zitto kabwe hajawahi kua mwenyekiti tuweke rekodi sawa. Ingawa ni kati ya Zitto au Mbowe.
Duu unamaanisha ule moshi uliofuka kwenye gari alipokuwa Ruangwa?Ni Zitto huyo, hata mission ya kumuua Dkt Magufuli akiwa kusini ilibuma.
dalalliiiMembe hakua kiongozi, hata hivyo membe sio mstaafu ni marehemu. Membe amemtaja bila kusita anapohusika. Hivyo sio membe, ni dalali
Tatizo la Pole Pole analeta magazijuto meengiii badala ya kufungua codes!Kwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.
Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
ZZK kastaafu uongozi wa chamaLakini zito na mzee wa ubwabwa bado wapo kazini hawajastaafu na kasema kwa sasa ameshastaafu.
SLOSLOW anazingua tu, si amtaje tu hata kwa nickname yake.
Wrong...acha unafiki