Ni mwezi wa tatu sasa mke wangu hashiki mimba

You are still too young....yaani miezi mitatu tu waanza kulalama...watu tulikaa kwenye gemu miaka miwili wa tatu ndo mtu akaumuka so keep waiting na kuwa na subira pia epuka maneno ya dada zako,kwani hao waanzishaji mtiti kama hauna msimamo unamwaga akienda upande wa pili imoooo....wabaki kijilauma tuliza boli dogo.
Ana miaka 19 ...born 2000...and I have 28 yrs
 
Thanks
 
I urgently need it!!! Ila wife aliwahi niambia anahtaji mimba akiwa na age ya 22 so nawazaga Labda anafanya manoeuvres ya kumanipulate hii kitu!!!....ni zipi dalili za mwanamke atumiaye family planning kwa siri!!!???
Anakunywa vidonge huyo. Hataki kukuambia maana wewe unataka mtoto. Kama alishakuambia hivyo basi lazima anajilinda asipate mimba. Maana kwa miaka 19 fertility ipo njema like never before. Reproductive organs bado hazijaishi miaka mingi huwezi linganisha na mwanamke wa 45 yrs ambae ovary zake zimechoka tena wakati mwingine hata mayai haziproduce.
 
Akija lazima nimhoji ....asipoeleza ukweli tutaenda hospital
 
I urgently need it!!! Ila wife aliwahi niambia anahtaji mimba akiwa na age ya 22 so nawazaga Labda anafanya manoeuvres ya kumanipulate hii kitu!!!....ni zipi dalili za mwanamke atumiaye family planning kwa siri!!!???
Inategemea. Vidonge wengine wananenepa,wengine vinawakataa wanapata bleed kwa mwezi mara mbili. Dalili zinatofautiana. Ila pia mwambie kama anatumia njia ya kuzuia uzazi kamwe asichome sindano,kuweka kijiti ama kuweka kitanzi. Maana anaweza asizae kabisa ikifika kipindi anahitaji mtoto. Hizi zinashauriwa watumie waliozaa tayari atleast watoto 3.Ila vidonge ni sawa hakuna madhara hata kama haujazaa.
Ila miaka 19 bado mdogo. Mwache mwenzio afurahie ndoa mkiwa wawili. Kama alivyosema atazaa akifika 22.
Muda mnao. Menopause ni mpaka 46 huko.
 
Ahsante sana
 
Akija lazima nimhoji ....asipoeleza ukweli tutaenda hospital
Tuliza presha.
Mtoto hatafutwi mitandaoni.
Mtoto hatafutwi kwa wasiwasi
Miezi 3 michache
Mwanamke akiwa na stress tu anaweza asishike mimba.
Inaonesha asipokuja kuzaa utamuacha.

Unapoanza ndoa usiwe na presha na watoto mfanye mke alirax kisha endeleeni na maisha kila siku. Siku isio na jina mtakuta imeingia yenyewe.

Uliza watu wazima huko uliko, rafiki na ndugu. Waliooa zamani. Acha papara
 
Thanks
 
Mkuu hilo suala bado mapema sana, at least mkifikisha mwaka mnafanya tendo bila kinga yoyote lakini hakuna matokeo ndiyo unaruhusiwa kuanza kutafuta ushaiuri, tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…