Ni namna gani naweza kumripoti dereva aliyeniletea dharau kisa mimi ni mtembea kwa miguu? Amenikosakosa leo maeneo ya Mwenge mpakani

Dereva akikumwagia hata maji machafu yalio kwenye madimbwi barabarani kwa makusudi unayo haki ya kwenda kulalamika na atachukuliwa hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…