Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Mloge...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku nyingne tembea na mawe kidogo mfukon si unakumbuka ule usemi "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe"
Kwani unaelewa nini kuhusu kujichukulia sheria kwenye kiganja?Bamiza makofi hadi yeye ndiye akakushtaki.
Traffic police watamsaka wachukue chao
Asante kwa elimu MkuuDereva akikumwagia hata maji machafu yalio kwenye madimbwi barabarani kwa makusudi unayo haki ya kwenda kulalamika na atachukuliwa hatua
HahahahahaàaaaBasi hapo na hicho kitoroli chake anaona kayapatiaaaaaaaaaaaaaaa
Utasikia babako analo!
Hahahahaaaaa ni kweli kaka,Hamia Kijijini mkuu,
Mjini utashitaki wangapi?
Jaribu tu kuwa makini unapotembea Barabarani, watu siku hizi wanaendesha magari huku wanachezea simu.
HahahahahaaaaaNunua gari achana na boda boda utavunjwa miguu tu awamu hii[emoji28] na amna kitu utafanya zaidi ya kutembelea magongo.
HahahahahaaaaaaaaaaaaaNilikuwa naomba tu kuuliza, hizo dharau zote kakufanyia akiwa anaendesha hyo starlet au gari ishapita hapo?
HahahahahaaaaaaaaVizia akiwa amepaki, piga kisu matairi yote manne na uvunje kioo cha mbele chote. Mwachie ujumbe aache kudharau watembea kwa miguu.