Ni namna gani ya kusafisha sufuria za aluminum?

Ni namna gani ya kusafisha sufuria za aluminum?

MICROZ

Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
70
Reaction score
84
Wapendwa polen na majukumu, nina sufuria za aluminium kampuni ya Andalus, sufuria hizi zikipata moshi au masizi ni namna Gani au kifaa gani kinafaa kusafishia Ili zibaki katika mng'ao wake?
 
Mchanga wa kujengea ndo huwa unazing'arisha sufuria aina hizo
 
Back
Top Bottom