Ni namna naweza fanya application ya scholarship?

Pishoni

Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
33
Reaction score
24
Hi JF members!Ninasoma shahada ya kwanza katika mojawapo ya vyuo vikuu hapa nchini lakini kiukweli nna ndoto siku moja ya kwenda kusoma nje.So ningependa kufahamu yafuatayo; 1.Ni namna gani naweza fanya application kwa ajili ya Scholarship? 2.Ninataraji kumaliza shahada yangu ifikapo mwezi june,je upo uwezekano wa kupata chuo na scholarship kabla ya kupata cheti?I mean soon tu baada ya kumaliza. 3.kipi huanza ili ufanye application for scholarship yan upate kwanza chuo au hata kabla ya kupata Chuo?
 
mkuu unamaanisha ukasome stashahada nje ya nchi?
Kama kweli unataka msaada weka details zako straight halafu kuwa specific
nawakilisha
 
Kwani hapo unaposoma ulipapataje. Hata hiyo shahada ya kwanza hujamaliza unawaza nyingine, ukidisco! Maliza hiyo kwanza, then mwaga hapa GPA yako watu wakusaidie.
 
haujamaliza chuo bado, jaribu international students exchange program kwenye vyuo vya nje mfano Denmark Technical University, walinipaga nafasi nikamalizie kwao sema nikapata chuo america.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…