Hi JF members!Ninasoma shahada ya kwanza katika mojawapo ya vyuo vikuu hapa nchini lakini kiukweli nna ndoto siku moja ya kwenda kusoma nje.So ningependa kufahamu yafuatayo; 1.Ni namna gani naweza fanya application kwa ajili ya Scholarship? 2.Ninataraji kumaliza shahada yangu ifikapo mwezi june,je upo uwezekano wa kupata chuo na scholarship kabla ya kupata cheti?I mean soon tu baada ya kumaliza. 3.kipi huanza ili ufanye application for scholarship yan upate kwanza chuo au hata kabla ya kupata Chuo?