Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 2,284 Reaction score 3,626 Jul 22, 2025 #1 Enzi hizo tulijirusha na hako kapambio hata tukiwa bar tunakunywa bia na kusakata dance... Ila kalipotea ghafla sijui ni nani aliyekaua.. Nauliza sasa ni nani aliyekaua hako kawimbo ka Nyerere aah Nyerere ajenga nchi?
Enzi hizo tulijirusha na hako kapambio hata tukiwa bar tunakunywa bia na kusakata dance... Ila kalipotea ghafla sijui ni nani aliyekaua.. Nauliza sasa ni nani aliyekaua hako kawimbo ka Nyerere aah Nyerere ajenga nchi?
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,692 Reaction score 41,138 Jul 22, 2025 #2 Wamejishtukia kuwa wanatafuna nchi ndio maana hakaimbwi
Zegreaty JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 2,504 Reaction score 3,188 Jul 22, 2025 #3 Baba Kisarii said: Enzi hizo tulijirusha na hako kapambio hata tukiwa bar tunakunywa bia na kusakata dance... Ila kalipotea ghafla sijui ni nani aliyekaua.. Nauliza sasa ni nani aliyekaua hako kawimbo ka Nyerere aah Nyerere ajenga nchi? Click to expand... Kamejiua kenyewe kwakua mmekua hamjengi nchi tena bali mnabomoa ndio mana mnaamini katika watu sio chama
Baba Kisarii said: Enzi hizo tulijirusha na hako kapambio hata tukiwa bar tunakunywa bia na kusakata dance... Ila kalipotea ghafla sijui ni nani aliyekaua.. Nauliza sasa ni nani aliyekaua hako kawimbo ka Nyerere aah Nyerere ajenga nchi? Click to expand... Kamejiua kenyewe kwakua mmekua hamjengi nchi tena bali mnabomoa ndio mana mnaamini katika watu sio chama