Ni nani alimshauri Mourinho kumnunua Lukaku Man Utd?

WAPENZI WA YANGA NA SIMBA POPOTE WALIPO WANA MATATIZO HAWATAKAGI KUFUNGWA ONA WANAPELEKA UPUMBAVU WAO ULAYA.HUWEZI SHINDA KILA MECHI
 
Hahaha... nilishukuru sana chelsea walivyoshindwa kumsajili...

Mi simpendi kwa sababu anacheza mpira wa kizamani... Morata ni modern striker kabisa bila kujali atafunga ngapi
 
Juzi mlitwambia Man Anaenda ndo,mkamponda sana Rooney na kumsifia Lukaku na Military an,leo mnawakataa?
 
Lukaku man u ni mzigo kama wasira alivyo mzigo CCM

Alipokuwa akitupia mlijificha ndani ya mablanket kwanza sioni umzigo wa lukaku kama timu nzima haikucheza vizur mech ya liverpool na chelsea mlitegemea lukaku achezeje?
 
Hahaha... nilishukuru sana chelsea walivyoshindwa kumsajili...

Mi simpendi kwa sababu anacheza mpira wa kizamani... Morata ni modern striker kabisa bila kujali atafunga ngapi

Acha uongo wewe hata morata hana sifa ya ustriker ni mzigo tu kukokota mpira hawez wala kupiga chenga akibak na bek mmoja hana hata ubavu wa kumtoka muda wote anaanguka tu asubir mhispania mwenzie azpillicueta ampigie kross atumie kichwa tu striker aloekuwepo chelsea diego costa hata pawe na mzingira magumu utaliona tu
 
Jamaa si nasikia Ana Bonge la boro,walikuwa wanamumba
 
Huyu jamaa hana uwezo wa kucheza timu kubwa! Hajui kukontroo mpira, ana touch mbovu, ni mzito sana na mwisho huwa haonekani kwenye mechi kubwa, kwa kifupi ni mzigo na hafai kuwepo kwenye timu kubwa kama Man Utd!
Povu ruksa...


Unaweza kukuta hata mpira wa makaratasi hujacheza chukua hiyo toka kwa watu wanaoujua mpira


Paul Scholes has suggested that he would love to see Manchester United sign a new number 10 to help bring out the best of Romelu Lukaku.

The Belgian striker has been struggling to find the net in recent weeks after having made a strong start to life at Manchester United following his transfer from Everton back in July.

Lukaku has scored seven goals in his first 10 Premier League games for Manchester United but has failed to net in his last six games in all competitions.

And former Manchester United midfielder Scholes believes that’s down to Lukaku not having eno
 
Mimi nitabaki na huyu mpumbavu Mkhitaryan....sijui anafanya nini hapa kwenye hii timu.

Upo sahihi sana bila kuwa na namba 10 hamna kitu ila mijinga inaangalia ufungaji wa magoli tu hayaangalii mfungaji kazungukwa na nani mkhitaryan mzembe sana
 
Mnunue ww ssa hyo costa atakusaidia sie tusha mtumia katulipa bdo ww huyo lukaku wako atakulipa lin
 
unaongea kwa mhemuko mzee

hivi mtu kama hana sifa ya ustriker amefungaje magoli 7?

hawezi toka beki hata mmoja??, kaangalie hattrick yake Vs stoke city goli lake la 2 amefungaje..

Amechezaje timu kubwa kama Real Madrid, maana kukaa hata benchi la Madrid lazima uwe una uwezo, tena kapiga goli 15 akitokea benchi.

Nimemtaja kama striker wa kisasa maana mpira wa sasa hauhitaji sana watu wanaolalialalia mabeki au wanaostick kati tuu, angalia timu kama Man city inavyocheza, striker anayeanza anaweza tokea pembeni, kati au kurudi hata shimoni na huo ndio mpira wa kisasa ambao ukiwa na mtu kama morata anaweza kukupa vyote hivyo tofauti na lukaku,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…