kukosa hilo goli ndio bure? zile mishe mishe za lukaku pale mbele ndio zinapelekea kina martial wafunge.
whoscored mechi ya jana lukaku wamem rate 7.64 ambayo ni record nzuri tu.
https://www.whoscored.com/Players/78498/Show/Romelu-Lukaku
na mpaka sasa hizi ndio record zake
-manchester amecheza mechi 19 ana goli 11 na assist 4
-ubelgiji mechi 8 goli 11
-jumla mechi 27 goli 22 na assist 4.
kifupi lukaku amefanya contribution 26 za magoli katika mechi 27 alizocheza. kama unaona hii ni bure then itakuwa ni wale mnaojua mpira ni chenga na matobo.