hahahahKila mtu akijisikia kuanzisha uzi anaanzisha tu.
Mkuu mlitakiwa kwanza mkubaliane vigezo vya timu kubwa ni ipi......Mwayasema haya siku mkifungwa, makombe kila timu inayo yanapishana idadi. Kama ni hivyo mnaenda uwanjani kufanya nini?.
Mkuu mlitakiwa kwanza mkubaliane vigezo vya timu kubwa ni ipi......
1-idadi ya makombe.
2-ukubwa wa kikosi na gharama yake..
3-brand ya timu...
4-utajari wa timu...
5-idadi ya mashabiki...
Nawe ongeza vigezo....
Kama ni ivo Man U ni klab kubwa maana3,4 NA 5 ndio vinavyodetermine ukubwa wa timu. Kwa mbali inafuatia 1 na 2 ni ya mwiso.
kukosa hilo goli ndio bure? zile mishe mishe za lukaku pale mbele ndio zinapelekea kina martial wafunge.Ni wachache sana hatukuingia kwenye mkumbo wa kumponda Morata na kumsifia Lukaku ambaye alianza msimu kwa mbwembwe.
Haya sasa nadhani jana mashabiki wa Man untd mmeona mlichonunua, striker ambaye hayupo clinical kabisa, Bodi ya Man untd itajuta sana kutoa mijihela yote na kumuacha Rooney asepe kirahisi.
Morata afadhali yake ni kwamba anaweza kucheza nafasi kibao mbele na ni mwepesi zaidi katika kuanzisha mashambulizi na angalau ugeni wake kwenye ligi unampa ahueni kuliko huyu ndugh yetu ambaye anazingua tuu kila saa.
Kumtegemea Lukaku ni kama arsenal inavyomtegemea Giroud , muda wowote anawaachia shuka
Mashabiki wa man untd watakuja kumuelezeaHuyu lukaku ndio nani??
Maana asubuhi nimepita stendi ya daladala kila mtu anamtukana kwa matusi mazito mazito..
Au ndo agent wa CCM aliyeiba kura za udiwani na kuwapiga nA kujeruhi makamanda??
Sio kukosa goli, lukaku anakosa magoli tena ya wazi kitu ambacho ni risk kwa timu kubwa kama man untd kumtegemea mtu kama huyu hasa unapocheza champions league na unakutana na timu zenye washambuliaji clinical kama Robert lewandowski, Lionel Messi au Cristiano Ronaldo huku ukikumbuka Man united wamemwaga zaidi ya Paundi mililioni 70 kupata huduma zakekukosa hilo goli ndio bure? zile mishe mishe za lukaku pale mbele ndio zinapelekea kina martial wafunge.
whoscored mechi ya jana lukaku wamem rate 7.64 ambayo ni record nzuri tu.
https://www.whoscored.com/Players/78498/Show/Romelu-Lukaku
na mpaka sasa hizi ndio record zake
-manchester amecheza mechi 19 ana goli 11 na assist 4
-ubelgiji mechi 8 goli 11
-jumla mechi 27 goli 22 na assist 4.
kifupi lukaku amefanya contribution 26 za magoli katika mechi 27 alizocheza. kama unaona hii ni bure then itakuwa ni wale mnaojua mpira ni chenga na matobo.