Watanzania kwa conspiracy theories!!!!!Nachokumbuka kilichomuua Ni ajali ya gari hayo mengine me siyajui kabisa
Wale waliomchagulia gari (tax)ya kupanda baada ya kuingia ile aliochagua yeye na wakamwambia asipande hiyo akaelekezwa ile inayofuata (ambayo ilikuwa ishaandaliwa)ndio wahusika wakuu.Mchungaji Mtikila, mwanasiasa machachari wa Chama cha Upinzani cha DP aliyekuwa akiishi ya maisha yasiyoendana na hadhi yake, alikufa papo hapo kwenye ajali ya gari huku watu wote aliokuwa nao wakipona na kuonekana wakijiuguza majeraha feki ya kuumia kwenye ajali.
Mtikila alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Flat iliyopo karibia na kiwanda cha Bia cha Breweries, maeneo ya shule ya Uhuru Kariakoo.
Japokuwa alikuwa na nyumba mikocheni, lakini alipenda kuishi maisha locally sana,hakupenda kusafiri kwa gari lake,alipenda kupanda Daladala.
Mungu alimpa mke wa kufanana naye, mkewe Georgia alikuwa mama mwanaharakati kama mumewe.
Mtikila aliwahi kufungwa kwa makosa mbalimbali ya kuikosoa Serikali.Lakini hakuwa mwiba sana kwa Serikali ya Tanzania.
Hali ya mambo ilibadilika ghafla,pale Mtikila aliposema kuwa, Serikali ya Rwanda imeingiza Tanzania zaidi ya majasusi 35,000 kwa mission maalumu...
Soma > Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba
INAENDELEA
Mkuu, Dunia unayoishi inatisha kuliko unavyofikiri,ukilala na kuamka salama, usidhani usalama upo,kwa hiyo unaamini pia hata Princess Diana alikufa kwa ajali tu ya gari bahati mbaya?Mtikila alikufa kwa ajari.
Kufa peke yake kwenye ajari siyo sababu kuwa Mtikila aliuliwa kwani ajari za aina hiyo zimeshatokea na zinaendelea kutokea kwa watu wa kawaida pia.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Asante mkuuWale waliomchagulia gari (tax)ya kupanda baada ya kuingia ile aliochagua yeye na wakamwambia asipande hiyo akaelekezwa ile inayofuata (ambayo ilikuwa ishaandaliwa)ndio wahusika wakuu.
Naomba niishie hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wangeweza kuikamata Tanzania wangekuwa na Kingdom kubwa sana, Bahati mbaya mipango ya Mungu ni ya tofauti na wanadamuKuna tetesi na tuhuma ambazo hazijawahi kusemwa waziwazi kwamba Bahima Empire kupitia Mr Slim ndio walihusika na mpango mzima wa kumnyamazisha milele ... Pengine mwendelezo wa hii mada utatupa majibu
Ndio alipata ajali ambayo vyuma vilimkaba shingoni hadi akafa vilisokota ile tai ndio ikachangia kufa[emoji21][emoji21][emoji21]Nachokumbuka kilichomuua Ni ajali ya gari hayo mengine me siyajui kabisa
AiseeNakumbuka huyu mama kuna kipindi alikuwa anakuja dukani kwangu.
Akikupa pesa kisha kwenye chenji ukamuwekea noti ya 1000 yenye picha ya nyerere anaikataa.
Kama mtakumbuka kipindi hicho kulikuwa na elfu moja mbili tofauti
Alikufa kwa ajali, ni sawa kwa akili zako ndogo ila aliuwawa kabla ya gari kupewa ajali, hii dunia sivyo unavoijua wewe, ungepewa macho ya kuona kinachofanywa ( manipulation) ungekodoa macho kama mjusi aliyebana kwenye mlangoMtikila alikufa kwa ajari.
Kufa peke yake kwenye ajari siyo sababu kuwa Mtikila aliuliwa kwani ajari za aina hiyo zimeshatokea na zinaendelea kutokea kwa watu wa kawaida pia.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kumbuka hawajakata tamaa badoHawa jamaa wangeweza kuikamata Tanzania wangekuwa na Kingdom kubwa sana, Bahati mbaya mipango ya Mungu ni ya tofauti na wanadamu
Mchungaji Mtikila, mwanasiasa machachari wa Chama cha Upinzani cha DP aliyekuwa akiishi ya maisha yasiyoendana na hadhi yake, alikufa papo hapo kwenye ajali ya gari huku watu wote aliokuwa nao wakipona na kuonekana wakijiuguza majeraha feki ya kuumia kwenye ajali.
Mtikila alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Flat iliyopo karibia na kiwanda cha Bia cha Breweries, maeneo ya shule ya Uhuru Kariakoo.
Japokuwa alikuwa na nyumba mikocheni, lakini alipenda kuishi maisha locally sana,hakupenda kusafiri kwa gari lake,alipenda kupanda Daladala.
Mungu alimpa mke wa kufanana naye, mkewe Georgia alikuwa mama mwanaharakati kama mumewe.
Mtikila aliwahi kufungwa kwa makosa mbalimbali ya kuikosoa Serikali.Lakini hakuwa mwiba sana kwa Serikali ya Tanzania.
Hali ya mambo ilibadilika ghafla,pale Mtikila aliposema kuwa, Serikali ya Rwanda imeingiza Tanzania zaidi ya majasusi 35,000 kwa mission maalumu...
Soma > Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba
INAENDELEA
Nachokumbuka kilichomuua Ni ajali ya gari hayo mengine me siyajui kabisa
UnabuniAlikufa kwa ajali, ni sawa kwa akili zako ndogo ila aliuwawa kabla ya gari kupewa ajali, hii dunia sivyo unavoijua wewe, ungepewa macho ya kuona kinachofanywa ( manipulation) ungekodoa macho kama mjusi aliyebana kwenye mlango
Hauna ushahidi dogo.Mkuu, Dunia unayoishi inatisha kuliko unavyofikiri,ukilala na kuamka salama, usidhani usalama upo,kwa hiyo unaamini pia hata Princess Diana alikufa kwa ajali tu ya gari bahati mbaya?
Fungua jicho la tatu ujue undani wa Dunia, vinginevyo utabakia kipofu hivyo hivyo.
Wapekeye umeanzaNakumbuka huyu mama kuna kipindi alikuwa anakuja dukani kwangu.
Akikupa pesa kisha kwenye chenji ukamuwekea noti ya 1000 yenye picha ya nyerere anaikataa.
Kama mtakumbuka kipindi hicho kulikuwa na elfu moja mbili tofauti
Na Chato ikageuka kuwa chatu kwa rasilimali za nchi yetu [emoji23][emoji23][emoji23]Kikwete aliua maelfu na Magufuli makumi elfu