Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtikila alikuwa na maadui wengi ndani na nje ya nchi. Hivyo, kuna uwezekano akauawa na mmoja wao au kwa ushirikiano. Kwanza alikuwa adui mkubwa wahindi akipinga ubaguzi na unyonyaji wao. Nadhani waliomuua Dr Jwani Mwaikusa aliyekuwa akiwatetea watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda wanaweza kuwa washukiwa namba moja ukiachia mbali akina Kikwete.Mchungaji Mtikila, mwanasiasa machachari wa Chama cha Upinzani cha DP aliyekuwa akiishi ya maisha yasiyoendana na hadhi yake, alikufa papo hapo kwenye ajali ya gari huku watu wote aliokuwa nao wakipona na kuonekana wakijiuguza majeraha feki ya kuumia kwenye ajali.
Mtikila alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Flat iliyopo karibia na kiwanda cha Bia cha Breweries, maeneo ya shule ya Uhuru Kariakoo.
Japokuwa alikuwa na nyumba mikocheni, lakini alipenda kuishi maisha locally sana,hakupenda kusafiri kwa gari lake,alipenda kupanda Daladala.
Mungu alimpa mke wa kufanana naye, mkewe Georgia alikuwa mama mwanaharakati kama mumewe.
Mtikila aliwahi kufungwa kwa makosa mbalimbali ya kuikosoa Serikali.Lakini hakuwa mwiba sana kwa Serikali ya Tanzania.
Hali ya mambo ilibadilika ghafla,pale Mtikila aliposema kuwa, Serikali ya Rwanda imeingiza Tanzania zaidi ya majasusi 35,000 kwa mission maalumu...
Soma > Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba
INAENDELEA
tyc mkuu!For sure,
Kuna la Prof Jwani Mwaikusa nae aliyeuwawa kwa kupigwa risasi nyumbani hapa Dar,, hapa napo Paulo anahusika
Sijui niilete part B ya namna Marehemu Mtikila alivyoshughulikiwa,,, kuanzia kukutana na foreigner aliyekuja kwa mission ya dini mpaka umauti ukamfika
Mwaga nondo mkuuFor sure,

Kifo cha mch Mtikila ni kifo tata kweli kweli
Kinahusianishwa moja kwa moja na mkuu wa Watutsi na sababu kuu ni WARAKA alioutoa Marehemu Mtikila kuhusiana na namna hawa jamaa ( walipewa jina la wahamiaji harámu) walivyojipenyeza na kuanza kushika na kupora rasilimali za wananchi hasa maeneo ya mipakani na wakajipenyeza kwenye baadhi ya vyeo nchini mwetu kinyemela wakiwa na mission yao ya siri
Waraka ule wa Mtikila ulitoka kipindi ambapo utawala wa Jakaya ulikuwa ktk Vita baridi na Paulo, na inasemekana ule waraka uliandaliwa na 'kitengo' kisha Mtikila akatumika kama carrier ili Ujumbe uende kwenye hadhira ( na aliusambaza kwenye media zote) na kisha Serikali ije ireact kwa kuchukua hatua kali dhidi ya 'hao jamaa'.
Na kweli ikawa hvyo WARAKA ulipotoka, Serikali ikareact kwa kuanzisha operation nchi nzima iliyopewa jina la 'kuondoa wahamiaji harámu' lakini ndani yake walengwa wa ile operation walikuwa hao jamaa.
Kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa operation ile ilikuwa chini ya Simon Sirro ( kwa sasa IGP)
Paulo wa Rwanda na timu yake wakawa wamepigwa kweli kweli ktk kila maeneo walipojipenyeza na kugundulika.
Hapo ndipo Mtikila akawa ameingia kwenye 18 za Paulo
Ngoja nivute kiti nikae hapa Mbele kabisa
Walau we umeeleweka uko vzr
Fanya hivyo tuongeze maarifa maana tupo kwenye wakati mgumu januariFor sure,
Kuna la Prof Jwani Mwaikusa nae aliyeuwawa kwa kupigwa risasi nyumbani hapa Dar,, hapa napo Paulo anahusika
Sijui niilete part B ya namna Marehemu Mtikila alivyoshughulikiwa,,, kuanzia kukutana na foreigner aliyekuja kwa mission ya dini mpaka umauti ukamfika
Chini ya uongozi huu wa awamu ya sita wameuawa mamia elfu.Kikwete aliua maelfu na Magufuli makumi elfu
AiseeMchungaji Mtikila, mwanasiasa machachari wa Chama cha Upinzani cha DP aliyekuwa akiishi ya maisha yasiyoendana na hadhi yake, alikufa papo hapo kwenye ajali ya gari huku watu wote aliokuwa nao wakipona na kuonekana wakijiuguza majeraha feki ya kuumia kwenye ajali.
Mtikila alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Flat iliyopo karibia na kiwanda cha Bia cha Breweries, maeneo ya shule ya Uhuru Kariakoo.
Japokuwa alikuwa na nyumba mikocheni, lakini alipenda kuishi maisha locally sana,hakupenda kusafiri kwa gari lake,alipenda kupanda Daladala.
Mungu alimpa mke wa kufanana naye, mkewe Georgia alikuwa mama mwanaharakati kama mumewe.
Mtikila aliwahi kufungwa kwa makosa mbalimbali ya kuikosoa Serikali.Lakini hakuwa mwiba sana kwa Serikali ya Tanzania.
Hali ya mambo ilibadilika ghafla,pale Mtikila aliposema kuwa, Serikali ya Rwanda imeingiza Tanzania zaidi ya majasusi 35,000 kwa mission maalumu...
Soma > Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba
INAENDELEA
Sasa watu wa kitengo hawajui PK ni maji marefu?Kifo cha mch Mtikila ni kifo tata kweli kweli
Kinahusianishwa moja kwa moja na mkuu wa Watutsi na sababu kuu ni WARAKA alioutoa Marehemu Mtikila kuhusiana na namna hawa jamaa ( walipewa jina la wahamiaji harámu) walivyojipenyeza na kuanza kushika na kupora rasilimali za wananchi hasa maeneo ya mipakani na wakajipenyeza kwenye baadhi ya vyeo nchini mwetu kinyemela wakiwa na mission yao ya siri
Waraka ule wa Mtikila ulitoka kipindi ambapo utawala wa Jakaya ulikuwa ktk Vita baridi na Paulo, na inasemekana ule waraka uliandaliwa na 'kitengo' kisha Mtikila akatumika kama carrier ili Ujumbe uende kwenye hadhira ( na aliusambaza kwenye media zote) na kisha Serikali ije ireact kwa kuchukua hatua kali dhidi ya 'hao jamaa'.
Na kweli ikawa hvyo WARAKA ulipotoka, Serikali ikareact kwa kuanzisha operation nchi nzima iliyopewa jina la 'kuondoa wahamiaji harámu' lakini ndani yake walengwa wa ile operation walikuwa hao jamaa.
Kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa operation ile ilikuwa chini ya Simon Sirro ( kwa sasa IGP)
Paulo wa Rwanda na timu yake wakawa wamepigwa kweli kweli ktk kila maeneo walipojipenyeza na kugundulika.
Hapo ndipo Mtikila akawa ameingia kwenye 18 za Paulo
Wamesema waraka ule uliandaliwa na kitengo...hakuandaa MtikilaHahahaha Mtikila alipoandika ule waraka alionekana yuko vzr Sana kichwani Ila aliposema rafiki yake Prof Mwaikusa ameuwawa na serikali ya JK amegeuka kua mropokaji?Naamini maneno ya Mtikila tu.
Kwa beef aliyokua nayo Mtikila kwa Kagame&the co. alikua hana sababu ya kutosema Rwanda imemua Prof. Mwaikusa tena hio angeisema asubuhi na mapema.
Tuendelee na conspiracy theories.
Walio muua mtikila ni RAIA FEKI WALIOPO MADARAKANI SASA.KWA SABABU ALIKUWA KIKWAZO KWA AJENDA YAO YA KULIGEUZA TAIFA LETU KUWA KOLONI LAO NA KUIFANYA SERIKALI YA TZ KUWA KAMPUNI YAO BINAFSI NA CCM KUWA SAKOSI YAO NDIYO MNAONA KWA SASA HATA CCM YENYEWE IMEPIGWA PIN NA HAO RAIA FEKI AIFURUKUTI WANAPELEKESHWA KINYUME NA MATAKWA YAOMchungaji Mtikila, mwanasiasa machachari wa Chama cha Upinzani cha DP aliyekuwa akiishi ya maisha yasiyoendana na hadhi yake, alikufa papo hapo kwenye ajali ya gari huku watu wote aliokuwa nao wakipona na kuonekana wakijiuguza majeraha feki ya kuumia kwenye ajali.