Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

Kuna tetesi na tuhuma ambazo hazijawahi kusemwa waziwazi kwamba Bahima Empire kupitia Mr Slim ndio walihusika na mpango mzima wa kumnyamazisha milele ... Pengine mwendelezo wa hii mada utatupa majibu
Who is Mr Slim?
 
kabla ya kifo chake nilitamani sana kumuona live..sijui nina mkosi gani kila mtu ambae ananiinspire nikiweka nia tu ya kukutana nae...miaka kadhaa mbele lazima adanje...niliweka nia ya kukutana na mwenda zake nae vile vile akaenda nadhani nitakutana nao huko walipo
 
Naanza kupata picha jason Paramandio marinda was assassinated asee
 
Naaangalia kumbukumbu hapa zinaonyesha Prof. Mwaikusa aliuawa mwaka 2010. Na waraka wa Mch. Mtikila ulitoka mwaka 2013. Beef la Mtikila na PK lilitokana na huo waraka tu au by 2010 tayari walikuwa na beef jingine?
Mtikila ameanza bifu na PK long time Sana.Maana hata wale wafuasi wa fdlr walianza kwenda nyumbani kwa mtikila 2000's huko.

BTW waraka mwenyewe alitumika tu Mtikila kuuwasilisha kwa public lkn waliokua nyuma yake ndio hao baada ya kuuwasilisha tu walikuja kupiga OP kimbunga.
 
Mtikila alikufa kwa ajari.
Kufa peke yake kwenye ajari siyo sababu kuwa Mtikila aliuliwa kwani ajari za aina hiyo zimeshatokea na zinaendelea kutokea kwa watu wa kawaida pia.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuna mtu aliwai kupata ajari badala wale alio kuwa nao kumsaidia wakaamua kumaliza,so sometimes there is mission
 
Back
Top Bottom