Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini

Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini

😂 unasoma kutegemea ajira

Mwambie atafute Passport, aende nchi za ulaya au Marekani huko fursa za hiyo kozi zipo na kuna raia huko hawapendi kazi za hivyo, wanaijeria wanajua sana kutafuta hizi fursa... Hata mashirika yanayofanya kazi hapa Bongo mengi yanatoka huko...
 
Nina mtoto wa kaka yangu amesoma kozi inaitwa oil and gas engineering pale DIT huu ni mwaka wa tano hana kazi.
Wakati anaanza alimwambia mzazi wake ni kozi yenye fursa kwasababu serikali imeanzisha.

Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini
Hivyo vitu vingekuwa vyetu ajira zingekuwa za kumwaga lakini bahari mbaya sana tuliviuza vingali mashinani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo nimshauri aruke nje
Yeah ruka zako nje... Tafuta machaka nje ya nchi huko Ulaya au Marekani... Hata pesa ni ndefu kuliko bongo hapa kila kukicha msululu wa wahitimu alafu inatolewa nafasi moja ya ajira
 
Hee yeye ndio kageuzwa fursa tena
Kawaida,Kuna vyuo vingine daily vinavumbua cozi tu,hata utumishi hawazifaham Yani kazi yao ni kuchanganya maneno tu,sijui human resources and finance😆 Sasa wewe usome hiyo alafu uje utake kushindana na mtu aliesoma accounting si unatafuta lawama tu,mfano Tosha nenda kwenye tovuti ya chuo Cha mipango dodoma angalia cozi zao wanazozitoa
 
Nina mtoto wa kaka yangu amesoma kozi inaitwa oil and gas engineering pale DIT huu ni mwaka wa tano hana kazi.
Wakati anaanza alimwambia mzazi wake ni kozi yenye fursa kwasababu serikali imeanzisha.

Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini
Kozi inafursa ndio ila asilimia kubwa ni nje ya nchi....huku bongo gesi ipooo ila ndo hivyo connection inahitajika
 
Back
Top Bottom