Mkurugenzi Wa Mashirika
Member
- Oct 23, 2022
- 97
- 99
Hivyo vitu vingekuwa vyetu ajira zingekuwa za kumwaga lakini bahari mbaya sana tuliviuza vingali mashinaniNina mtoto wa kaka yangu amesoma kozi inaitwa oil and gas engineering pale DIT huu ni mwaka wa tano hana kazi.
Wakati anaanza alimwambia mzazi wake ni kozi yenye fursa kwasababu serikali imeanzisha.
Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini
Kwa hiyo nimshauri aruke njeKuna kozi hapa Bongo ukizisoma inabidi fursa zake ukazitafute nje ya nchi
Yeah ruka zako nje... Tafuta machaka nje ya nchi huko Ulaya au Marekani... Hata pesa ni ndefu kuliko bongo hapa kila kukicha msululu wa wahitimu alafu inatolewa nafasi moja ya ajiraKwa hiyo nimshauri aruke nje
Hee yeye ndio kageuzwa fursa tenaAliambiwa kuna fursa kumbe yeye ndiye alikuwa fursa happ DIT
Kawaida,Kuna vyuo vingine daily vinavumbua cozi tu,hata utumishi hawazifaham Yani kazi yao ni kuchanganya maneno tu,sijui human resources and financeš Sasa wewe usome hiyo alafu uje utake kushindana na mtu aliesoma accounting si unatafuta lawama tu,mfano Tosha nenda kwenye tovuti ya chuo Cha mipango dodoma angalia cozi zao wanazozitoaHee yeye ndio kageuzwa fursa tena
Kozi inafursa ndio ila asilimia kubwa ni nje ya nchi....huku bongo gesi ipooo ila ndo hivyo connection inahitajikaNina mtoto wa kaka yangu amesoma kozi inaitwa oil and gas engineering pale DIT huu ni mwaka wa tano hana kazi.
Wakati anaanza alimwambia mzazi wake ni kozi yenye fursa kwasababu serikali imeanzisha.
Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini