Yaani halafu wakatuletea DJ Luc,Viongozi Yanga Vilaza.Aman iwe nanyi
Naomna kuuliza kenge gan mpuuz gan alileta kocha mpya wakati Boniface mkwasa akiwa anafaa kabisa na kutosha kamili gado kwenye kiti cha ukocha wa yanga
Mpuuz gan huyo anatuhujumu hapo jangwani
Mkwasa alipaswa aachiwe hii team hadi mwisho wa msimu siyo kutuletea mshenzi mshenzi kisa ana rangi nyeupe
Shwain kabisa
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi Kocha mpya wa yanga mimi sijaona makosa yake. Matokeo ya mechi mbili yaliyopatikana ni makosa binafsi ya wachezaji. Yanga ikionekana ikicheza soka la kuvutia badala ya kubutua butua.Yaani halafu wakatuletea DJ Luc,Viongozi Yanga Vilaza.
Nakuunga mkono kocha Yupo Vzr tumpe muda Leo nimeona Yanga ikicheza mpira wa kuvutia basi bahati haikuwa yetu tuwe wavumilivuBinafsi Kocha mpya wa yanga mimi sijaona makosa yake. Matokeo ya mechi mbili yaliyopatikana ni makosa binafsi ya wachezaji. Yanga ikionekana ikicheza soka la kuvutia badala ya kubutua butua.
Uongozi wa yanga ndio umezingua kwa kukubali kuanza na upya wakati ligi imeshafikia katikati.
Kitendo cha kusajili wachezaji wapya takribani saba na kumleta kocha mpya ni sawasawa na kuamua kuanza safari na upya. Kocha mpya anahitaji muda
Sent using Jamii Forums mobile app
haya mambo ya kuwaamini wazawa ndiyo yalisababisha apewe timu ya taifa tukapigwa 7 na AlgeriaSema Yanga, usitake kuificha aibu ya Yanga kwenye kichaka cha Simba. Yanga kapigwa 3-0 full stop, hicho kipigo Simba Ina miaka mingi haijawahi kupokea katika mashindano yoyote ya wabongo
Yaani halafu wakatuletea DJ Luc,Viongozi Yanga Vilaza.
shida ipo kwa wachezaji mkuu...huwezimlaumu kocha kwa mechi 2Shida iko kwa mkwasa au wachezaji wapya?
Wabongo bwana. Yaani kocha anatakribani wiki mbili tu na unaona timu ikibadilika kwa kucheza mpira unaovutia lakini wachezaji ndio wanaoigharimu timu kwa makosa binafsi cha ajabu lawama anatupiwa kocha. Hao hao kipindi timu ipo chini ya mkwasa walikuwa wanalalamika yanga wanacheza mpira wa butu butu tu hata hauna radha na magoli ya bahati nasibu tu.
Inasemekana Huyu kocha amefundisha timu nne ndani ya mwaka mmoja. Kuna tatizoWabongo bwana. Yaani kocha anatakribani wiki mbili tu na unaona timu ikibadilika kwa kucheza mpira unaovutia lakini wachezaji ndio wanaoigharimu timu kwa makosa binafsi cha ajabu lawama anatupiwa kocha. Hao hao kipindi timu ipo chini ya mkwasa walikuwa wanalalamika yanga wanacheza mpira wa butu butu tu hata hauna radha na magoli ya bahati nasibu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
haya mambo ya kuwaamini wazawa ndiyo yalisababisha apewe timu ya taifa tukapigwa 7 na Algeria
Anapigwa na Al Ahly, sio Kagera SugarKwani Simba wakati anapigwa 5,5,4 kocha hakuwa mzungu?.
Mkwasa Ana cv nzuri kwa maana ya Elimu ya ukocha, uzoefu wa ukocha na uchezaji .haya mambo ya kuwaamini wazawa ndiyo yalisababisha apewe timu ya taifa tukapigwa 7 na Algeria
Hoja ugonjwa sawa,ila uwezo anaoMkwasa hajakaa pembeni hivihivi ni mgonjwa sana,uwezo wake ni mdogo sana qna shida kubwa ya moyo,tumwache apumzike
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ugonjwa ambao haumwezeshi kuiongoza timu yake kumalizia michezo mitano ya raundi ya kwanza.Mkwasa ni mgonjwa mkuu, haya ni matokeo tu tuwe wavumilivu kidogo. Beira Boy,
Sent using Jamii Forums mobile app