Ni nani alishauri Mkwasa akae pembeni kabla msimu haujaisha?

Ni nani alishauri Mkwasa akae pembeni kabla msimu haujaisha?

Aman iwe nanyi

Naomna kuuliza kenge gan mpuuz gan alileta kocha mpya wakati Boniface mkwasa akiwa anafaa kabisa na kutosha kamili gado kwenye kiti cha ukocha wa yanga

Mpuuz gan huyo anatuhujumu hapo jangwani

Mkwasa alipaswa aachiwe hii team hadi mwisho wa msimu siyo kutuletea mshenzi mshenzi kisa ana rangi nyeupe

Shwain kabisa

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani halafu wakatuletea DJ Luc,Viongozi Yanga Vilaza.
 
Yaani halafu wakatuletea DJ Luc,Viongozi Yanga Vilaza.
Binafsi Kocha mpya wa yanga mimi sijaona makosa yake. Matokeo ya mechi mbili yaliyopatikana ni makosa binafsi ya wachezaji. Yanga ikionekana ikicheza soka la kuvutia badala ya kubutua butua.

Uongozi wa yanga ndio umezingua kwa kukubali kuanza na upya wakati ligi imeshafikia katikati.
Kitendo cha kusajili wachezaji wapya takribani saba na kumleta kocha mpya ni sawasawa na kuamua kuanza safari na upya. Kocha mpya anahitaji muda

Nakuunga mkono kocha Yupo Vzr tumpe muda Leo nimeona Yanga ikicheza mpira wa kuvutia basi bahati haikuwa yetu tuwe wavumilivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeipenda Wenyewe Wala Hatukuandikiwa Barua Acha Ituue
 
shida ipo kwa wachezaji mkuu...huwezimlaumu kocha kwa mechi 2

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo bwana. Yaani kocha anatakribani wiki mbili tu na unaona timu ikibadilika kwa kucheza mpira unaovutia lakini wachezaji ndio wanaoigharimu timu kwa makosa binafsi cha ajabu lawama anatupiwa kocha. Hao hao kipindi timu ipo chini ya mkwasa walikuwa wanalalamika yanga wanacheza mpira wa butu butu tu hata hauna radha na magoli ya bahati nasibu tu.

Inasemekana Huyu kocha amefundisha timu nne ndani ya mwaka mmoja. Kuna tatizo
 
Ukweli unabaki palepale, Yanga wangemwacha Mkwasa hadi amalize mzunguko wa Kwanza.
Hakuna namna inabidi kukubaliana na matokeo Maana viongozi ndio wameamua.
Mkwasa alikuwa anaenda vizuri na timu sijui kwanini hakupewa japo amalizie mzunguko wa kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya mambo ya kuwaamini wazawa ndiyo yalisababisha apewe timu ya taifa tukapigwa 7 na Algeria
Mkwasa Ana cv nzuri kwa maana ya Elimu ya ukocha, uzoefu wa ukocha na uchezaji .
Kupigwa 7 na Algeria sio tatizo kwani mechi ya Daressalaam ilikuwa Droo, ikizingatia Algeria alikuwa ametoka World Cup Brazil kule aliichachafya ujerumani 1-2 extra time second round .
Na wachezaji wa kibongo performance yao haiko constant inapanda na kushuka gafla.
Leo akicheza Vizuri kesho anavurunda utafikiri ni watu wawili tofauti
Tanzania v Algeria ni kama mtoto mdogo acheze mieleka na mtu mkubwa. Level mbili tofauti kabisa.
 
Mkwasa ni mgonjwa mkuu, haya ni matokeo tu tuwe wavumilivu kidogo. Beira Boy,

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ugonjwa ambao haumwezeshi kuiongoza timu yake kumalizia michezo mitano ya raundi ya kwanza.
Mbona anahudhuria katika kila mechi.
Kwani anacheza yeye ?
Angeweza hata kumwelekeza msaidizi wake namna ya kufanya.
Kwa sasa Hana Mamlaka kuna kocha Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom