Ni kweli wanachofanya ni sahihi lkn walinzi (lugha ya alama)wafanya usafi (lugha ya alama)pale kanteen kwao (lugha ya alama)hivi mgeni akiwa na changamoto ya maulizo huna wa kumuuliza haraka haraka maana ndio wanaopatikana kwa urahisiNi binadamu lakini sio vyema kuwatumia sehemu za jumuia ya watu wa aina tofauti tofauti. Baadala yake wawatumie watu wenye uwezo wa lugha na alama mbalimbali.
Sent using Jamii Forums mobile app