Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kha! Kwahio nani aliyeharibu? Mbona umeuliza swali very genuine halafu umeishia kuongea ugoro?Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?
Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
ulijuaje kama nchi inahitaji katiba mpya?..Katiba sio hisani kutoka kwa maza, ni hitaji la nchi. Maza kama anaona anasumbuliwa ajiuzulu kuna mtz ambaye yupo tayari kukamlisha katiba bila kuona kama anasumbuliwa Sawa bwasheee!
Katiba iliharibiwa na lile bunge maalum la wahuni (bunge la katiba), wakiongozwa na Mhe. Samweli Sitta. Ukada wa vyama kwenye lile bunge ndio ulioharibu mchakato mzima wa katiba, hadi wakaja na katiba pendekezwa ambayo ilikuwa pro-Chama tawala.Nani aliyeharibu mchakato? Aliharibuje? Nani alieandaa sherehe Dodoma za Kupokea rasimu ya Katiba? Wajumbe walikua akina nani? Ccm iliwakilishwa na akina nani?
Niliwahi hadi kuandika kuhusu Mzee Sitta, nadhani niliita thread, "Kisa cha Nabii Mzee na Samuel Sitta" kitu kama hicho, then it happenedKatiba iliharibiwa na lile bunge maalum la wahuni (bunge la katiba), wakiongozwa na Mhe. Samweli Sitta. Ukada wa vyama kwenye lile bunge ndio ulioharibu mchakato mzima wa katiba, hadi wakaja na katiba pendekezwa ambayo ilikuwa pro-Chama tawala.
Katiba iliharibiwa na lile bunge maalum la wahuni (bunge la katiba), wakiongozwa na Mhe. Samweli Sitta. Ukada wa vyama kwenye lile bunge ndio ulioharibu mchakato mzima wa katiba, hadi wakaja na katiba pendekezwa ambayo ilikuwa pro-Chama tawala.
Waliharibu wapinzani UKAWA kwa vile walitaka serikali 3 badala ya 2 na hivyo kususa kikao kama njia ya kushinikiza. Hapo ndipo walipofanya kosa la kiufundi kubwa. Laiti wangekubali kwenda by peace meal wakaanza na madaraka ya Rais, Tume ya uchaguzi, upatikanaji wa wabunge, mgombea binafsi, nk wakaruka maeneo magumu halafu 5 years later wakayarudia kwa agenda mpya. Pushing by bits. Wangefanikiwa sasa hivi tungekuwa mbali sana. Hii ndiyo mbinu ya majadiliano magumu. You dont push for everything rather moving strategically in win win situation.Katiba iliharibiwa na lile bunge maalum la wahuni (bunge la katiba), wakiongozwa na Mhe. Samweli Sitta. Ukada wa vyama kwenye lile bunge ndio ulioharibu mchakato mzima wa katiba, hadi wakaja na katiba pendekezwa ambayo ilikuwa pro-Chama tawala.
Kwani na huu uchumi ambao huyo mama amejinasibu kutaka kuujenga kwanza badala ya katiba mpya, ulibomolewa na nani?Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?
Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
Nani walitoka nje na kugomea kutoa mawazo yao kisha wamekuwa na kiherehere cha kudai katiba wakati walizira kama watoto.Nani aliyeharibu mchakato? Aliharibuje? Nani alieandaa sherehe Dodoma za Kupokea rasimu ya Katiba? Wajumbe walikua akina nani? Ccm iliwakilishwa na akina nani?
Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Amepata hukumu gani?
Mwacheni Mama nyie mjifikirie kwa nini mliharibu mchakato wa Katiba na pesa hamkurudisha. Majizi makubwa nyie. Sasa mnakosa pesa mnataka mje zipata tena kwenye Katiba.
Nani walitoka nje na kugomea kutoa mawazo yao kisha wamekuwa na kiherehere cha kudai katiba wakati walizira kama watoto.
UKAWA unawasingizia. Wao waliunda UKAWA baada ya kuona yale maoni ya wananchi kwenye rasimu ya pili ya tume yametupwa yote, instead CCM wamekuja na kitu kipya kabisa ambacho kilikuwa hakibebi maoni ya wananchi. Rejea upya chanzo cha ukawaWaliharibu wapinzani UKAWA kwa vile walitaka serikali 3 badala ya 2 na hivyo kususa kikao kama njia ya kushinikiza. Hapo ndipo walipofanya kosa la kiufundi kubwa. Laiti wangekubali kwenda by peace meal wakaanza na madaraka ya Rais, Tume ya uchaguzi, upatikanaji wa wabunge, mgombea binafsi, nk wakaruka maeneo magumu halafu 5 years later wakayarudia kwa agenda mpya. Pushing by bits. Wangefanikiwa sasa hivi tungekuwa mbali sana. Hii ndiyo mbinu ya majadiliano magumu. You dont push for everything rather moving strategically in win win situation.
bila shaka ulisoma topic ya logic.Kwani na huu uchumi ambao huyo mama amejinasibu kutaka kuujenga kwanza badala ya katiba mpya, ulibomolewa na nani?
Na kama anaweza kuujenga uchumi uliovurugwa na mtangulizi wake wa awamu ya tano na wakati yeye mwenyewe akiwa ni makamu wa Rais, anashindwa nini kuurejesha pia mchakato wa katiba mpya uliovurugwa na wanasiasa maslahi, wakati alipokuwa tena makamu mwenyekiti wa bunge la katiba?