Ni nani aliyeibadilisha Tanzania kwa muda mfupi hivi?

Kichefuchefu.
 
Kwa hiyo unataka kujifanya huoni yaliyofanyika ndani ya miaka minne? Anagawa pesa watu wakalewe au anachangia maendeleo?Kikundi gani cha watu wachache wananufaika? Mzunguko mkubwa wa pesa uliouzoea wewe ulikuwa ni wa pesa chafu. Zikiwemo za wauza unga.
Kukosolewa? Kama kukuosoa kosoa kwa lugha ya staha. Sio kumtukana.
 
Ni Huyo hapo katikati...


Ila mimi namlaumu ametuacha njiani kwenye yale maono Tanzania ya viwanda ukweli kama kungekua na ukweli na uwazi pamoja na uajibikaji uliotukuka na mh angepata washauri wazuri na wataalamu basi tungefikia hayo maono japo kwa theluthi kwa kipindi cha miaka 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juu ya Tanzania ya viwanda watu hawakumuelewa vizuri. Nia na mazumuni ni serikali kuweka mazingira rafiki kwa wenye mitaji na wawekezaji wageni waje kujenga viwanda. Kwa kiasi fulani amefanikiwa. Nenda mkoa wa pwani ukashuhudie. Hakumaanisha serikali kujenga viwanda serikali kama serikali peke yake.
 
Waliokuwa wanayafanya hayo uliyoyaorodhesha walikuwa serikali inayoongozwa na chama kipi cha siasa?
 
Kweli nchi imekuwa mbovu kupindukia. Tuliambiwa tumenunua ndege kwa matrilioni lakini jana tu tunakodi ndege ya Rwanda kuja Mwanza kuchukua minofu ya samaki huku madege yetu yakiwa yanajaa utando wa buibui viwanjani.

Tumeingia mikataba mibovu na makampuni yasiyo na fedha kama hivi karibuni lili kampuni la kujenga kule Stigglers Gorge limefungiwa kupata fedha kutoka Sweden na sasa ule mradi unasuasua.

Shirika la nyumba lilikuwa linaenda vizuri lakini baada ya kuingia awamu hii kila kitu kimestop, badari ya Bagamoyo ipo wapi?..

Tunaona miradi mikubwa ikielekezwa nyumbani kwa mtu, Kiwanya cha ndege cha kimataifa, madaraja ziwani, nk. Tuwe makini tumekosea 2015.
 
Ni mkombozi "JPM"aliyetumwa kuikomboa TZ iliyokuwa imemezwa na mafisadi. Mungu ibariki TZ
 
Nataka kujua nani kaleta haya mabadiliko.
Ni yule yule ambaye wakati wanajilipa mishahara hewa, wanakula Bata vikao vya bodi nje, Wanakwepa Kodi. Yeye aliamua kugawa nyumba za serikali kwa vimada na nduguze. Ni kuwa yeye alibuni upigaji wake tofauti, Cha ajabu hujautaja kwenye mifano yako. CHAMA MOJA DUGU MOJA.
 
Hivi!
wewe unaishi wapi?
Mbona mimi nipo TZ enzi zote tokea Nyerere hadi leo za Magufuli.
Naona kilaa anayekuja anazidi kuipeleka TZ chini kimaisha na kuzidi kuwa magumu.
heri huyu Kikwete kwa mara ya kwanza Barara toka Dar-Mwanza imekuwa na lami
Dar Lindi imekuwa na Lami
Dar Songea kupitia lindi lami.
Lakini tangu aje huyu jamaa naona mashimo kla mahali yanaongezeka ,wala sioni kipya.
Kubwa zaidi maisha ya Mtu mmoja mmoja yamezidi kuwa magumu, Vyuma vinazidi kukaza.
Au mwenzetu mafanikio yako ya kupata cheo ,ndio unaona TZ imekaa sawa?
Mimi ni mjasiria mali najua kupambanua vizuuuri
Huyu jama katumaliza kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…