Watanzania
Nilihudhulia vikao vya kampeni vya CUF,CHADEMA na CCM na kufuatilia katika Media mwenendo mzima wa Campaign, sikuona chama chochote kijipambanua kuwa na mlengo fulani wa kidini !!!!!
Je propaganda za udini zilitoka wapi? ni wazi ziliibuliwa na Muongo Jk ili kupanda mbegu ya Udini kwa vyama vya CUF na CHADEMA(Vyenye Nguvu) , na hatimaye kuwapumbaza Watanzania kwamba ni CCM tu ndo haina Undini !!!!.
Kwa maana nyingine the disguised message to the public was :
SLAA anafaa sana lakini Bwana , Mkiristo alikuwa padri !!!!!!!!!!!!!!
Lipumba anafaa sana lakini Bwana, CUF ina nguvu sana sehemu za waislamu wengi
Nasema hoja za kikwete zimepanda mbegu mbaya , alitaka ushindi at all cost hata kama ikibidi kubomoa misingi aliyoacha Nyererere
ATAKUMBUKWA DAIMA KWA KUIBUA NA KUCHOCHEA UDINI TANZANIA