Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.

Kama kweli unanijua then utajua kuwa kujipendekeza kwa mtu sio hulka yangu.....I believe in effective democratic system and I will always suuport anyone whom and when I believe I need to achieve prosperous and democratic Tanzania. Muulize mtu yeyote huko kwenu kama niliwahi kuomba ama hata kuonyesha nia ya kujiunga nanyi.....I have always stand firm with my nonpartisan principle whatever the temptations....

Zaidi ya salamu na heshima kwao kama wakubwa wangu kiumri na hata kimaarifa, sijawahi kujuana na hao unaodai kuwa natumia talking points zao...Why should I while I am privileged to have my independent and innovative brains????

Believe me, sijaona hoja yoyote ya msingi uliyoianzisha ama kujibu zaidi ya mipasho, shallow assumptions na majungu tu...

Usiku mwema
 
Udini unawasaidia wajanja wachache kula kupitia watu wasioweza kufikiri kwa akili zao. Mtu anaweza kuwa msomi kweli lakini likiguswa suala la dini yake mtu huyo huchanganyikiwa na kuwa na akili ya chekechea. Ndo waafrika walivyo. Akili yote huishia kwenye mabishano ya dini ilhali ni wazi hata huko mbinguni hawaendi wako bize na mambo mawili: 1. Kutetea dini zao 2: Zinaa.
 
Bwa ha ha ha ... wewe na Mrema mnaweza kuanzisha chama cha kinafiki na mkaeleweka.

U mean Mrema gani? John Mrema is my brother and with all the differences I always respect his talents in political schemings....Kama ni Lyatonga nadhani hata yeye anaamini kuwa chama chako na viongozi wako nao ni wanafiki pia. No wonder Mwenyekiti wako ameapa kuhakikisha kuwa kiti cha vunjo kinaenda CCM lakini asipate Lyatonga Mrema kwani atatishia mipango yake kuelekea 2015...................ofcourse na kulipa deni kwa wanaCCM walioahidi kumsaidia kupata kiti cha HAI
 
....

Believe me, sijaona hoja yoyote ya msingi uliyoianzisha ama kujibu zaidi ya mipasho, shallow assumptions na majungu tu...

Usiku mwema

Inaonekana umesahau principle yangu --- ninajibu majungu, mipasho, shallow assumptions, udini, udaku etc kwa majungu, mipasho, shallow assumptions, udini, udaku etc.

Ukianza kuandika mambo ya msingi na kutoa hoja za msingi, utajibiwa accordingly.

take it easy mnafiki.... uwe na usiku mwema pia
 

Here we go again .... wewe na Augustino Mrema inabidi muanzishe chama cha wanafiki na kisha mle kote kote - kwa mafisadi wa ccm na kwa wanafiki wenzenu chamani.
 
take it easy mnafiki.... uwe na usiku mwema pia

Haya wewe kipanga, mwanamapinduzi, mzalendo na mpambanaji hodari......wenzako wako field wakiconsolidate kura ninyi endeleeni kubwatuka hapa JF maana mtazipata nyingi tu za kuwawezesha ushind dhidi ya Kikwete na pia viti 106 bungeni..............

By the way, I admire ur energy but u need some substance to boost ur talent........
 
Wakuu naona tunasahau kitu kimoja adui mkuu wa maendeleo ya nchi yetu ni CCM na wala si dini yeyote ile. CCM kama genge la watu wasio na huruma ndiyo wametufikisha hapa.
 
Udini unawasaidia wajanja wachache kula kupitia watu wasioweza kufikiri kwa akili zao. Mtu anaweza kuwa msomi kweli lakini likiguswa suala la dini yake mtu huyo huchanganyikiwa na kuwa na akili ya chekechea. Ndo waafrika walivyo. Akili yote huishia kwenye mabishano ya dini ilhali ni wazi hata huko mbinguni hawaendi wako bize na mambo mawili: 1. Kutetea dini zao 2: Zinaa.
 

Crap
 

.
Jamani huyu sabato masalia katoka wapi? Yaani unaacha hoja iliyoletwa jamvini unaanza kuhubiri kile unachowazia kuwahubiria masalia ukiisha kuwatenga kando.
 

.
Huyu jamaa anajiita Omarlyas nimemshtukia, haikosi huyu ni Mansa Jingi mwandishi na mchambuzi wa siasa katika gazeti la Rai. Pia huyu jamaa ni kiongozi mwandamizi wa WAPO mission. Naona kazi zao pamoja na Majid hapa Jf ni moja na watakuwa wametumwa na yule fisadi papa RA. WATANZANIA HATUDANGANYIKI, KWA KURA ZETU TUTAMFANYA SLAA KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO WA SERIKALI YA MUUNGANO YA TANZANIA.
 

mkuu wangu kiby, katika hili nitamtetea Omar.
Sidhani kama Omar ndiye Mansa Jingi (ingawa binafisi simfahamu Mansa). Omar ninamfahamu na sidhani kama ameanza kuandikia gazeti la rai (labda kama anafanya kwa siri).
 
mkuu wangu kiby, katika hili nitamtetea Omar.
Sidhani kama Omar ndiye Mansa Jingi (ingawa binafisi simfahamu Mansa). Omar ninamfahamu na sidhani kama ameanza kuandikia gazeti la rai (labda kama anafanya kwa siri).

.
Kama omar unamfahamu mkuu basi nitakuwa nimekosea. Kuna point mbili tatu zilizonifanya nifikiri hivyo, kumbe nilijikosesha. I REALLY APOLOGISE FOR THAT.
 
NAFIKIRI ILI KULETA UMOJA WETU BONGO MGOMBEA WA URAIS AKIWA MUISLAMU MWENZA WAKE AWE MKRISTO HAPO KUTAKUA NA UMOJA NA KILA MIAKA KUMI LAZIMA RAIS ATOKE SEHEMU TOFAUTI ya NCHI BAINA YA BARA NA VISIWANI.
 
NAFIKIRI ILI KULETA UMOJA WETU BONGO MGOMBEA WA URAIS AKIWA MUISLAMU MWENZA WAKE AWE MKRISTO HAPO KUTAKUA NA UMOJA NA KILA MIAKA KUMI LAZIMA RAIS ATOKE SEHEMU TOFAUTI ya NCHI BAINA YA BARA NA VISIWANI.
Tanzania si Lebanon.
 
Tanzania si Lebanon.

But we are heading there???? Kaka wakati mwengine kama si wakati wote, busara za wazee zina umuhimu sana. Mwalimu na CCM yake waliporasimisha hili suala la kupokezana ndani ya CCM walikuwa na mantiki yake. Tena wakati huo tulikuwa bado tunajivunia a strong national and social cohesion kuliko sasa........

Way back after following closely the post Mkapa politics and role of religious institutions, leaders and zealots, with the eroding state and moral institutions legitimacy, I saw this coming kaka. I expected CHADEMA will be smart enough to do the nation a favour of being extra sensitive of the conditions....but what, opportunism ruled over sanity.....
 
Tatizo la ccm (hasa viongozi wake wa juu) ni kutumia hoja dhaifu kwa manufaa yao ya kisiasa bila kuzingatia matokeo yake kwa taifa kwa muda mrefu. Ikumbukwe hoja hii ya udini haikuanza leo kwa Slaa, waliianzisha katika kampeni za uraisi za mwaka 2000. Katika uchaguzi huo ambapo mgombea wa ccm alikuwa ni Mkapa (ambaye ni Mkristo) ccm ilitumia propaganda chafu kuwatuhumu cuf kwamba ni chama cha kidini (cha waislamu) na hii kwa kiasi kikubwa iliwaathiri sana cuf katika uchaguzi huo. Kujitokeza kwa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu kumewabadilishia kibao. JK ni muislamu, Lipumba haonekani kuwa tishio kubwa kwao, hivyo hoja hiyo hiyo ya udini iliyowaathiri cuf mwaka 2000 inatumika tena kwa Chadema sasa, lakini kwa bahati mbaya kwao ni kwamba watanzania wa sasa siyo wale wa mwaka 2005. Makamba atahukumiwa kwa hili la udini
 
Akiwahutubia akinamama huko Kigoma, Mama Kikwete kwa nyakati mbili tofauti amezungumzia juu ya wafanyao kampeni za uchaguzi kwa kutumia udini na ukabila kuwa ni hatari kwa amani ya nchi.

Bila kukitaja chama, NGO au watu binafsi alionekana kuguswa sana na hilo swala na alijua kuwa akina mama ndio karata yake ya mwisho katika kulipuuzia hilo na kudumisha amani.

Swali kubwa la kujiuliza hapa, HIVI MAMA KIKWETA ALIDHAMIRIA KUWANYOOSHEA KIDOLE AKINA NANI? CUF, CHADEMA, NCCR, CCM au TLP?

Hiki ni kitendawili ninachowaomba wenzengu hapa JF tutatue bila upendeleo. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Udini hauna nafasi kwa chama chochote. Kama mama Kikwete amezungumzia hilo ni ujumbe tosha kwa mtu yeyote anayehusika regardless.
 

Hivi wewe una mtindio wa ubongo au kitu gani? Kwa taarifa yako, huyu mama Kikwete hapendwi (aka siyo popular kabisa) humu ndani na almost hakuna anayetilia maanani kauli zake za kisiasa. Huu ni siyo nini wala chochote bali ni uchokozi wa wazi! Heshimu hilo ewe mdada na wewe na Mujahidina wenzako mtupishe na upuuzi wenu!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…