Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
Nakutaadhalisha na kukupa onyo! Hunijui sikujui. Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema ni Udini.....! Udini maana yake ni kitu gani? Next time shirikisha ubongo na si udongo katika kufikiria.

Umenikera naogopa BAN ningekupa kubwa yako.

Kaka hunijui na wewe sikujui tusitishane maana naona unataka kunizingua ni ukweli hoja zako nyingi ni za kichochezi na zenye kuleta udini ndani yake. Huwezi kunipiga ban kwasababu sijakutukana wala kukuvunjia heshima let alone kuvunja sheria za jamvini hivi endelea kuchukia. Kumbe mkiambiwa ukweli mnakisirika pole sana ndugu ndio hivyo Tanzania yetu sote!!!!:A S angry:
 
Rev Masanilo mada zako nyingi ni kuchochea udini nakujua sijashangaa ulivyosema hivyo. Pia nimecheka wewe ulivyosema ni kisiwa cha usultani wa kiislamu
Mbona kila anachosema Masanilo wewe unacheka unataka kutuambia nini kwa kitedo hicho.
 
Kaka hunijui na wewe sikujui tusitishane maana naona unataka kunizingua ni ukweli hoja zako nyingi ni za kichochezi na zenye kuleta udini ndani yake. Huwezi kunipiga ban kwasababu sijakutukana wala kukuvunjia heshima let alone kuvunja sheria za jamvini hivi endelea kuchukia. Kumbe mkiambiwa ukweli mnakisirika pole sana ndugu ndio hivyo Tanzania yetu sote!!!!:A S angry:

CRAP of the day!

Originally Posted by Mdondoaji Rev Masanilo mada zako nyingi ni kuchochea udini nakujua sijashangaa ulivyosema hivyo. Pia nimecheka wewe ulivyosema ni kisiwa cha usultani wa kiislamu
Umeisha sahau umeandika mara 3 unanijua .....nikakupa onyo hunijui! umekuja na jipya hunijiu mtu huyo huyo! Tabia ya kucheka cheka kwa wanaume wenzio si nzuri nadhani umenisoma.

Kaka nakujua wewe anyway katika maswala haya hatuko pamoja mkuu ila nimecheka sana
 
Mbona kila anachosema Masanilo wewe unacheka unataka kutuambia nini kwa kitedo hicho.

Kucheka sio lazima ufurahi unaweza kucheka pia kwa kusikitika jinsi watu wengine wanavyoongea vitu visivyo na msingi na natija kwa taifa letu changa. Kwani wewe umeelewa vp?
 
Turudini kwenye MADA.

Muulizaji kauliza kama kuna MBUNGE ama MUWAKILISHI MKIRISTO ZANZIBAR.

JIBU NDIO wapo tena wengi .

Kwa mfano ni Mh. Sylvester Mabumba yeye ni MBUNGE wa DOLE, yule ambae hata kirefu cha SADC kilimshinda kule bungeni: Soma hapa kwa uhakika. Bunge picks 3 for SADC Parliament

Dada mmoja MBUNGE wa KOANI nafikiri kama hivyo,

Muwakilishi wa FUONI nadhani na ndie, kwa ufupi wapo na hawajabaguliwa.
 
Nauliza tu jamani.

Msiniite mdini. Manake siku hizi mtu akitoa hoja watu wanampakazia kuwa ni mdini ili hoja isijadiliwe. Na mods nao wanadanganyika kirahisi wanaondoa mada jamvini.

Ok, tuendelee na mada.....
Kama hakuna mbunge au muwakilishi kutoka Visiwani ambaye ni mkristo, kwa nini?

Mwenye sababu aseme tuelewe.

Muheshmiwa Moderator, naomba kutoa hoja.
asilimia 98 ya wazanzibar ni waislamu hata hao wakristo si wakazi wa huko wameenda kikazi tu mimi nawajua wakristo wawili tu zanzibar mzee abrahamu isack sepetu na jaji augustino ramadhani
 
Kucheka sio lazima ufurahi unaweza kucheka pia kwa kusikitika jinsi watu wengine wanavyoongea vitu visivyo na msingi na natija kwa taifa letu changa. Kwani wewe umeelewa vp?

Kucheka cheka kutakuponza siku nyingine .....unajua mirindimo ya Pwani? wewe jichekeshe hahahahahah
 
sio udini wakati unaongelea masuala ya kidini...dah!! Kweli wabongo nuksi....
 
Mbona unapenda sana kujichekesha! hebu niPM huenda kuna kizuri hapo.:smile-big:

Kufurahi kwangu mkuu hakukusaidii wala kukupunguzia wewe kitu mie ni mtanzania kama wewe ninayeamka asubuhi kulitumikia taifa katika ngazi ya kitaifa na kimataifa ili kujenga taifa letu changa. Kinachonifurahisha ni kwamba always I mean always kuna watu humu wanakuja kuchokonoa udini ili tu kuchafua hali ya hewa humu ndani. Mimi nikimteua mtu ofisini kwangu huwa siangalii dini yake as long as anafanya kazi na muadilifu sasa mkianza na hoja eti wazanzibar wanatakiwa kumteua mkristo kwakweli ni kukosa hoja ya nguvu (inakuwa nguvu ya hoja) maana ni kulazimisha mtu ateuliwe tu just kwakuwa ni mkristo so what? and why? Kama mtu ni incompetent je ateuliwe tu? Hii ndio maana Tanzania tupo maskini mpaka leo tutawalia na siasa mpaka kwenye mambo ya msingi.
 
Kucheka sio lazima ufurahi unaweza kucheka pia kwa kusikitika jinsi watu wengine wanavyoongea vitu visivyo na msingi na natija kwa taifa letu changa. Kwani wewe umeelewa vp?
kaka dada au vipi
 
Kucheka cheka kutakuponza siku nyingine .....unajua mirindimo ya Pwani? wewe jichekeshe hahahahahah

Simba hunywesha kahawa na watu wakichekacheka pale sehemu za malindi zanzibar sembuse wewe hasira hasara shauri yako
 
Kufurahi kwangu mkuu hakukusaidii wala kukupunguzia wewe kitu mie ni mtanzania kama wewe ninayeamka asubuhi kulitumikia taifa katika ngazi ya kitaifa na kimataifa ili kujenga taifa letu changa. Kinachonifurahisha ni kwamba always I mean always kuna watu humu wanakuja kuchokonoa udini ili tu kuchafua hali ya hewa humu ndani. Mimi nikimteua mtu ofisini kwangu huwa siangalii dini yake as long as anafanya kazi na muadilifu sasa mkianza na hoja eti wazanzibar wanatakiwa kumteua mkristo kwakweli ni kukosa hoja ya nguvu (inakuwa nguvu ya hoja) maana ni kulazimisha mtu ateuliwe tu just kwakuwa ni mkristo so what? and why? Kama mtu ni incompetent je ateuliwe tu? Hii ndio maana Tanzania tupo maskini mpaka leo tutawalia na siasa mpaka kwenye mambo ya msingi.

Walau hapa hujacheka na umeandika kitu cha maana! Nakubaliana na wewe kiasi fulani.
 
zanzibar udini upo, kama unabisha siku za mfungo wewe kula hadharani useme mimi sio mwislam ila kwa issue uliyouliza kuwa kuna mwakilishi mkristo jibu ni kuwa hakuna kwasababu Huenda hakuna Mkristo aliyegombea na hata akigombea siamini kuwa angeaminiwa. Utamaduni na mtazamo wa watu wa Unguja ni tofauti sana na hapa Tanzania bara ambapo watu wengi hayo masuala ya udini hayana nafasi na hata yakijitokeza basi yanaweza kukemewa tofauti na unguja.
 
angalia hapo kwenye nyekundu chini (Kipengere cha religion)

Source: CIA World Factbook Population
41,892,895
country comparison to the world: 31 note: estimates for this country explicitly take into account the effects of excess mortality due to AIDS; this can result in lower life expectancy, higher infant mortality, higher death rates, lower population growth rates, and changes in the distribution of population by age and sex than would otherwise be expected (July 2010 est.)
Age structure:
0-14 years: 43% (male 8,853,529/female 8,805,810)
15-64 years: 54.1% (male 10,956,133/female 11,255,868)
65 years and over: 2.9% (male 513,959/female 663,233) (2010 est.)
Median age:
total: 18.3 years
male: 18 years
female: 18.5 years (2010 est.)
Population growth rate:
2.032% (2010 est.)
country comparison to the world: 52 Birth rate:
33.44 births/1,000 population (2010 est.)
country comparison to the world: 40 Death rate:
12.31 deaths/1,000 population (July 2010 est.)
country comparison to the world: 29 Net migration rate:
-0.81 migrant(s)/1,000 population (2010 est.)
country comparison to the world: 152 Urbanization:
urban population: 25% of total population (2008)
rate of urbanization: 4.2% annual rate of change (2005-10 est.)
Sex ratio:
at birth: 1.03 male(s)/female
under 15 years: 1.01 male(s)/female
15-64 years: 0.98 male(s)/female
65 years and over: 0.77 male(s)/female
total population: 0.98 male(s)/female (2010 est.)
Infant mortality rate:
total: 68.13 deaths/1,000 live births
country comparison to the world: 22 male: 75 deaths/1,000 live births
female: 61.05 deaths/1,000 live births (2010 est.)
Life expectancy at birth:
total population: 52.49 years
country comparison to the world: 207 male: 50.99 years
female: 54.03 years (2010 est.)
Total fertility rate:
4.31 children born/woman (2010 est.)
country comparison to the world: 40 HIV/AIDS - adult prevalence rate:
6.2% (2007 est.)
country comparison to the world: 12 HIV/AIDS - people living with HIV/AIDS:
1.4 million (2007 est.)
country comparison to the world: 6 HIV/AIDS - deaths:
96,000 (2007 est.)
country comparison to the world: 7 Major infectious diseases:
degree of risk: very high
food or waterborne diseases: bacterial diarrhea, hepatitis A, and typhoid fever
vectorborne diseases: malaria and plague
water contact disease: schistosomiasis
animal contact disease: rabies (2009)
Nationality:
noun: Tanzanian(s)
adjective: Tanzanian
Ethnic groups:
mainland - African 99% (of which 95% are Bantu consisting of more than 130 tribes), other 1% (consisting of Asian, European, and Arab); Zanzibar - Arab, African, mixed Arab and African
Religions:
mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim
Languages:
Kiswahili or Swahili (official), Kiunguja (name for Swahili in Zanzibar), English (official, primary language of commerce, administration, and higher education), Arabic (widely spoken in Zanzibar), many local languages
note: Kiswahili (Swahili) is the mother tongue of the Bantu people living in Zanzibar and nearby coastal Tanzania; although Kiswahili is Bantu in structure and origin, its vocabulary draws on a variety of sources including Arabic and English; it has become the lingua franca of central and eastern Africa; the first language of most people is one of the local languages

Kwanza data ni kutoka website ya kiislam lakini hiyo siyo shida. Shida ni kwamba Tanzania haíjawahi kuwa na census ya dini. Na pia results zinaweza kuwa contradicting

Waislam 25% Wakristu 50% Religion in Tanzania at Frommer's
waislam 25% wakristu 25% East Africa Living Encyclopedia

Website uliyotumia NationMaster - Tanzanian Religion statistics

No data but 87% in Zanzibar muslims; For Tanzania no data but probably same number Religion in Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia

Conclusion: Hakuna data za dini gani ni zaidi ya nyingine. Lakini mtu asiyekuwa muislam yupo likely kujitambulisha kama mkristo. After all waislam ucombine wakristu na watu wenye imani za jadi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom