This is interesting!
Mtu anaweza akaona hakuna umuhimu wa swali kama hili, lakini behind the curtains kuna interesting episode kwa kila mtu juu ya jinsi alivyojianzishia tendo hili la heshima!
Kwa kupitia mtazamo wa jumla na wa kichangamoto zaidi, ni kwamba vijana wa sasa hivi wanafundishwa tendo hili adhimu kupitia teknolojia za habari zilizopo(Computers, Tvs na majarida lukuki)...Angalau kwa hawa, tunaweza kusema kwamba (kwa hasara/faida) yao wamerahisishiwa sana kuelewa jinsi hii maneno inavyotendeka!..
Lakini pia wazazi wa siku hizi kwa namna moja au nyingine wanalazimika kuwafunza watoto wao habari za ku'do ili kuwaepusha na ukimwi, na pia semina mbalimbali za HIV zinaonyesha live jinsi ya kufanya ile maneno na mdada Chausiku, ili msiambukizane 'nyevuanyevua!'
Siku hizi kijana anaweza akaenda google akagonga maneno.."How to seduce a girl", na akatoka na elimu ambayo akimsomesha msichana, basi huyo dada lazima alegeze macho na kulowa maeneo yote!..huh!
Napenda niwaambie ndugu zangu kuwa enzi zile zetu, kusaundisha ilikuwa ngumu eti!
Mtu pesa huna, simu huna, hakuna tv wala cmpter, hakuna gazeti wala nini!
Zaidi tena hakuna gesti, ukikubaliwa ishu lazima iende porini, na yeye akijitolea kanga yake..huh!
Hivyo, nilikuwa napenda tu mjue kwamba zamani kujifunza tendo hilo ilikuwa ni shughuli pevu kidogo, na vijana wengi walikuwa wanajulia hii maneno chumbani siku wakioa!..huh!
Sasa nisiulizwe kwamba ilikuwaje msichana anayejua anapokutana kwa mara ya kwanza na mvulana asiyewahi ku'do😀...ilikuwa ni hatari ati!
Anyway, thats a preview of this topic according to me!