S Sammy1961 JF-Expert Member Joined Dec 23, 2019 Posts 300 Reaction score 309 May 2, 2023 #1 Wakuu habari za majukumu. Nisiseme mengi sana, ni nani alisema/kutuambia bwana harusi anatakiwa kuvaa suti wakati wa harusi? Maana naona kila mwanaume anayeoa anavaa suti.
Wakuu habari za majukumu. Nisiseme mengi sana, ni nani alisema/kutuambia bwana harusi anatakiwa kuvaa suti wakati wa harusi? Maana naona kila mwanaume anayeoa anavaa suti.
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 May 2, 2023 #2 Hakuna aliyesema, unaweza ukavaa kibwaya na ikawa poa,, after all ndiyo utamaduni wetu
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 May 2, 2023 #3 Ni wazungu wazungu mkuu ,jiulize ni nan alisema nguo nyeusi ni ya mazishi na nyeupe ni harusi!!!! Kuna mda sisi watu weusi tumeshikiwa akili.
Ni wazungu wazungu mkuu ,jiulize ni nan alisema nguo nyeusi ni ya mazishi na nyeupe ni harusi!!!! Kuna mda sisi watu weusi tumeshikiwa akili.
J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,541 Reaction score 7,378 May 2, 2023 #4 Hakuna vaa utakavyo,,,ila suti ipewe heshima yake siku ya harusi.