Ni nani aliyesema bwana harusi lazima avae suti?

Ni nani aliyesema bwana harusi lazima avae suti?

Sammy1961

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2019
Posts
300
Reaction score
309
Wakuu habari za majukumu.

Nisiseme mengi sana, ni nani alisema/kutuambia bwana harusi anatakiwa kuvaa suti wakati wa harusi?

Maana naona kila mwanaume anayeoa anavaa suti.
 
Ni wazungu wazungu mkuu ,jiulize ni nan alisema nguo nyeusi ni ya mazishi na nyeupe ni harusi!!!! Kuna mda sisi watu weusi tumeshikiwa akili.
 
Hakuna vaa utakavyo,,,ila suti ipewe heshima yake siku ya harusi.
 
Back
Top Bottom