sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Kumbe mnapenda na mnafurahia eeh!?Uliowala tigo wamekuambia hawajafurahia? Teh sidhani km unawakomoa mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mnapenda na mnafurahia eeh!?Uliowala tigo wamekuambia hawajafurahia? Teh sidhani km unawakomoa mkuu.
Sina tatizo na uchepukaji wenuDah ukioa wa aina hii kazi unayo yaani uishii maisha yote unakula mboga na ugali mmoja tu jmn wake zetu mtuhurumie sie waume zenu haiwezekani kutochepuka maana wanawake mpo wengi sana jmn nao wanataka huduma kama mnayopewa ndoani jmn
Mimi nikiingia kwenye mahusiano huwa sichepuki,naheshimu sana hisia za mwenzi wanguVipi yeye akikukamata
Mimi nikiingia kwenye mahusiano huwa sichepuki,naheshimu sana hisia za mwenzi wangu
Mimi nikiingia kwenye mahusiano huwa sichepuki,naheshimu sana hisia za mwenzi wangu
Maneno meeengi1/Sijasema kumiliki bali namesema ana uwezo wa kuoa wake wengi wakati mwanamke hana kwani anaolewa na mwanaume mmoja tuu at the same time. Huo uwezo wa mwanamke kuwa na wanaume wengi ndio umalaya/uchepukaji ambao haujaruhusiwi kwenye biblia. Mimi siongelei uchepukaji wa mwanaume au mwanaume bali naongelea yale mambo yaliyoruhusiwa kihalali kwenye biblia.
Mimi suing mkono uchepukaji wa mwanaume wala mwanamke kwani hayo mambo ni dhambi kama ilivyoandikwa nkwenye maandiko.
Tatizo lenu wanawake mnataka mjifanye nyie ni sawa na wanaume kitu ambacho mnakosea sana. Mwanamke ana nafsi yake na mwanaume ana nafsi yake. Kamwei moyo wa mwanamke hauwezi fanana na moyo wa mwanaume japo yote inapata maumivu. Ile Mathayo 19:7-9 kama ungeisoma ungenielewa ninachomanisha hapa.
2/Mwanamke akisalitiwa anaumia lakini sio kwa kiasi kile anachoumia mwanaume soma Mathayo 19:7-9.
Ndugu yangu ukiona umebishana na maandiko basi jua una walakini. Mimi najua kwa mtumishi wa kweli wa Mwenyezi-Mungu lazima atii na aishi maandiko matakatifu. Yote yatapita lakini neon la MUNGU halitappita... MUNGU sio mjinga wala huwezi kumsahihisha MUNGU ndugu yangu kama wewe ni mKristo wa kweli nina mashaka na Imani yako.
Mimi sio mbinafsi bali nasemea ukweli wa kile kilichoandikwa kwenye maandiko matakatifu kma unabisha waweza kuaja na vifungu ili tuchambue kama mimi ninavyo fanya hapa. Hatufanyi tuu bali tunafanya kulingana na andiko/namna MUNGU alivyosema.
3/Hivyo ndivyo MUNGU anavyotaka kama vile Waefeso 5:22-24 "Wake watiini waume zao kama kumtii Bwana. Maana mume anayo mamlaka juu ya mkewe kama vile Kristo alivyo na mamlaka juu ya kanisa, naye Kristo mwenyewe hulikomboa kanisa, mwili wake kama vile kanisa lilivyomtii Kristo vivyo hivyo wake wawatii waume zao katika mambo yote"
Kama ndugu yangu unabishana na maandiko matakatifu basi wewe sio Mkristo wa kweli pengine MUNGU wako sio MUNGU tumjuaye .
Talaka inatolewa na mwanaume kama Yesu alivyosema pale kwenye Mathayo 19:7-9
Hii sio ku complicate mambo ndugu bali ndivyo sharia inavotaka hata ukienda mahakamani utaletewa vifungu vya sheria sasa navyo utasema huvijui kisa hupendi ku comlicate mambo?
Ndugu yangu una safari ndefu sana ila naamni wewe ni mtu mzima ambae wahitaji ujitathimini Zaidi maana sio k kwa namna unavyofikiri.
Siku zote sharia hufuatwa! Zipo sheria za MUNGU na sheria za kiserikali zote hizo huwezi kuwa juu yake kwani ni lazima uzitii na hivyo uko chini ya sheria.
HahahaNi jambo la kushangaza sana unakuta mwanamke anashindana na mume wake kuchepuka.
Hivi hamjui wanaume tunaweza kuoa wake wengi sana at the same time? Wewe mwanamke unaweza olewa mara mbili kwa wakati mmoja? What the hell? tunakwenda wapi hii dunia?
Ni nani aliyewaambia mshindane na waume zenu?
Akili zenu zipo au hazipo? Hivi decent woman can do such stupid things? Wanawake wa tit for tat sio kwani mwanamke ameumbwa na MUNGU amtii mume wake sio kushindana nae!
Mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke, kamwe mwanamke hawawezi fanana na mwanaume ndio maana tunatofautiana majukumu. Keep it in mind if you want go higher.
UPDATE:
Hata sisi wanaume hatujaruhusiwa kuchepuka. Sasa sana nilicholeta hapa ni utofauti kati ya mwanamke na mwanaume kwani mwanaume anaweza oa wake wengi kwa wakati mmoja wakati mwanamke hawezi olewa na Zaidi ya mume mmoja at the same time.
Sihalalishi uzinzi kwani ni dhambi kwa MUNGU.
Imeandikwa 1 Wakorintho 7:18 "Jiepusheni kabisa na uzinzi . Dhambi zote hutendwa nje ya mwili lakini mzinzi hutenda dhambi ya mwili wake mwenyewe".
Maneno meeengi
Si utaje kitabu cha kutoka 20 kimetaja usizini
Na hakijabagua jinsia
Na iwe kama ulivyonena,.
Wewe unafurahia kuchepuka..,?
Nakuona unapojaribu kuzuia akili yako isikumbuke mtu wa kwanza kuchepuka, basi naomba nikukumbushe kuwa mwanamke ndiye mtu wa kwanza na ndiye aliyetufundisha mchezo mchafu hata sisi wanaume.
Kibaya zaidi kachepuka na mpaka katiwa ujauzito na joka (serpent). So endelea kujiuliza nani alimruhusu.