1/Sijasema kumiliki bali namesema ana uwezo wa kuoa wake wengi wakati mwanamke hana kwani anaolewa na mwanaume mmoja tuu at the same time. Huo uwezo wa mwanamke kuwa na wanaume wengi ndio umalaya/uchepukaji ambao haujaruhusiwi kwenye biblia. Mimi siongelei uchepukaji wa mwanaume au mwanaume bali naongelea yale mambo yaliyoruhusiwa kihalali kwenye biblia.
Mimi suing mkono uchepukaji wa mwanaume wala mwanamke kwani hayo mambo ni dhambi kama ilivyoandikwa nkwenye maandiko.
Tatizo lenu wanawake mnataka mjifanye nyie ni sawa na wanaume kitu ambacho mnakosea sana. Mwanamke ana nafsi yake na mwanaume ana nafsi yake. Kamwei moyo wa mwanamke hauwezi fanana na moyo wa mwanaume japo yote inapata maumivu. Ile Mathayo 19:7-9 kama ungeisoma ungenielewa ninachomanisha hapa.
2/Mwanamke akisalitiwa anaumia lakini sio kwa kiasi kile anachoumia mwanaume soma Mathayo 19:7-9.
Ndugu yangu ukiona umebishana na maandiko basi jua una walakini. Mimi najua kwa mtumishi wa kweli wa Mwenyezi-Mungu lazima atii na aishi maandiko matakatifu. Yote yatapita lakini neon la MUNGU halitappita... MUNGU sio mjinga wala huwezi kumsahihisha MUNGU ndugu yangu kama wewe ni mKristo wa kweli nina mashaka na Imani yako.
Mimi sio mbinafsi bali nasemea ukweli wa kile kilichoandikwa kwenye maandiko matakatifu kma unabisha waweza kuaja na vifungu ili tuchambue kama mimi ninavyo fanya hapa. Hatufanyi tuu bali tunafanya kulingana na andiko/namna MUNGU alivyosema.
3/Hivyo ndivyo MUNGU anavyotaka kama vile Waefeso 5:22-24 "Wake watiini waume zao kama kumtii Bwana. Maana mume anayo mamlaka juu ya mkewe kama vile Kristo alivyo na mamlaka juu ya kanisa, naye Kristo mwenyewe hulikomboa kanisa, mwili wake kama vile kanisa lilivyomtii Kristo vivyo hivyo wake wawatii waume zao katika mambo yote"
Kama ndugu yangu unabishana na maandiko matakatifu basi wewe sio Mkristo wa kweli pengine MUNGU wako sio MUNGU tumjuaye .
Talaka inatolewa na mwanaume kama Yesu alivyosema pale kwenye Mathayo 19:7-9
Hii sio ku complicate mambo ndugu bali ndivyo sharia inavotaka hata ukienda mahakamani utaletewa vifungu vya sheria sasa navyo utasema huvijui kisa hupendi ku comlicate mambo?
Ndugu yangu una safari ndefu sana ila naamni wewe ni mtu mzima ambae wahitaji ujitathimini Zaidi maana sio k kwa namna unavyofikiri.
Siku zote sharia hufuatwa! Zipo sheria za MUNGU na sheria za kiserikali zote hizo huwezi kuwa juu yake kwani ni lazima uzitii na hivyo uko chini ya sheria.