Elius W Ndabila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2019
- 339
- 678
Mtoto mmoja akaulizwa, Je mti wa mpera ukizaa watoto, utayaitaje, mtoto bila kuchelewa, akajibu utayaita, peasi, 😂😂
Ile dawa alokuja nayo na akanywa Propesa wa Jalalani ushainywa? Wahi alikuja na vichupa viwili tu. Kamoja kaenda ChattleNinachofurahi Baada ya October Chadema itakuwa haina mbunge hata mmoja Mbowe Ndio akili itamkaa sawa
Mama watoto Bia Yetu!!Ninachofurahi Baada ya October Chadema itakuwa haina mbunge hata mmoja Mbowe Ndio akili itamkaa sawa
Wafanye mapinduzi, sio kitu kipya duniani ikiwa anaewaongoza hajaendana nao.
Hoja na ushauri wako, ingawa ndio moja ya misingi ya Demokrasia, Haki na Uhuru, ni kama kumpigia mbuzi kengele.NI MH TUNDU LISU AU CHADEMA WALIO KANYAGA SHERIA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo John Munyika Katibu wa CHADEMA amewatangazia watanzania kuwa CHADEMA imewafutia Wabunge wanne uanachama. Wabunge hao ni Mh Silinde, Mh Selasini, Mh Komu na Mh Lwakatale huku Wabunge kadhaa wakiambiwa wajieleze.
Wakati kauli hiyo ikijitokeza ambayo inatokana na kile ambacho Mh Munyika amesema ni kukaidi kwa Wabunge hao kukaidi amri ya kuto kuingia Bungeni baada kukubaliana kukaa karantini kwa siku kumi na nne, Mh Silinde amejitokeza na kusema hawakupewa nafasi ya kusikilizwa.
CHADEMA kinao viongozi wengi ambao ni wasomi wazuri wa sheria akiwepo Mh LISU ambaye ni mjumbe wa kamati kuu. Mh LISU anajua kwamba *the right to fair hearing/Audi alteram partem* ni takwa la kisheria. Kuto kuwasikiliza wahalifu ni kwenda kinyume na takwa la katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katiba ya CHADEMA.
Je, Mh LISU na Chama hili hawakulizingatia? Wanadhani hawa Wabunge ukimuondoa Selasini aliyetangaza kuachana na CHADEMA baada ya Bunge hili wakienda Mahakamani hawatashinda? Sheria haijazungumza kama mwanachama anaweza kufukuzwa uanachama kiholela, Bali kwa kufuata kanuni na sheria zilizopo. Kwa kuwasaidia CDM wakasome kesi ya James F Gwagilo v AG, High Court of Tanzania at Dodoma, civil case No.23 of 1993 na Said Juma Muslim Shekimweri v AG, High Court of Tanzania at DSM, Miscellaneous civil case no.3 of 1996 iliamuliwa na Samatta J.K.
Ukiondoa hoja ya Mh Ndugai utaona namna CHADEMA walivyokurupuka Kufanya maamzi bila kuangalia sheria za Chama Chao na bila kuzingatia sheria za nchi. Ukisoma Katiba ya CHADEMA ibara ya 6(6.5.6) inasema *"Kiongozi yeyote hatachukuliwa hatu za kinadhamu bila Kwanza kupewa mashitaka kwa maandishi na mamlaka husika na kupewa nafasi ya kujibu mashitaka kwa maandishi"*. Lakini mafu gu yanayofuata yanasema mhusika atatoa utetetezi.
CHADEMA ni Chama ambacho kinatumia jina ambalo halisadifu yaliyomo. Ninadhani walipaswa kufuata sheria walizojiwekea ili waeleweke, lakini kwenda hivyo ni kukurupuka na kusigina sheria.
Blabla zenu watu wenye akili wamechoka nanyi.CHADEMA hakuna Demokrasia, usipomsikiliza Mbowe, unafukuzwa chama. Chama kina wenyewe
Chadema ukihoji mahakamani ni kosa piaNI MH TUNDU LISU AU CHADEMA WALIO KANYAGA SHERIA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo John Munyika Katibu wa CHADEMA amewatangazia watanzania kuwa CHADEMA imewafutia Wabunge wanne uanachama. Wabunge hao ni Mh Silinde, Mh Selasini, Mh Komu na Mh Lwakatale huku Wabunge kadhaa wakiambiwa wajieleze.
Wakati kauli hiyo ikijitokeza ambayo inatokana na kile ambacho Mh Munyika amesema ni kukaidi kwa Wabunge hao kukaidi amri ya kuto kuingia Bungeni baada kukubaliana kukaa karantini kwa siku kumi na nne, Mh Silinde amejitokeza na kusema hawakupewa nafasi ya kusikilizwa.
CHADEMA kinao viongozi wengi ambao ni wasomi wazuri wa sheria akiwepo Mh LISU ambaye ni mjumbe wa kamati kuu. Mh LISU anajua kwamba *the right to fair hearing/Audi alteram partem* ni takwa la kisheria. Kuto kuwasikiliza wahalifu ni kwenda kinyume na takwa la katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katiba ya CHADEMA.
Je, Mh LISU na Chama hili hawakulizingatia? Wanadhani hawa Wabunge ukimuondoa Selasini aliyetangaza kuachana na CHADEMA baada ya Bunge hili wakienda Mahakamani hawatashinda? Sheria haijazungumza kama mwanachama anaweza kufukuzwa uanachama kiholela, Bali kwa kufuata kanuni na sheria zilizopo. Kwa kuwasaidia CDM wakasome kesi ya James F Gwagilo v AG, High Court of Tanzania at Dodoma, civil case No.23 of 1993 na Said Juma Muslim Shekimweri v AG, High Court of Tanzania at DSM, Miscellaneous civil case no.3 of 1996 iliamuliwa na Samatta J.K.
Ukiondoa hoja ya Mh Ndugai utaona namna CHADEMA walivyokurupuka Kufanya maamzi bila kuangalia sheria za Chama Chao na bila kuzingatia sheria za nchi. Ukisoma Katiba ya CHADEMA ibara ya 6(6.5.6) inasema *"Kiongozi yeyote hatachukuliwa hatu za kinadhamu bila Kwanza kupewa mashitaka kwa maandishi na mamlaka husika na kupewa nafasi ya kujibu mashitaka kwa maandishi"*. Lakini mafu gu yanayofuata yanasema mhusika atatoa utetetezi.
CHADEMA ni Chama ambacho kinatumia jina ambalo halisadifu yaliyomo. Ninadhani walipaswa kufuata sheria walizojiwekea ili waeleweke, lakini kwenda hivyo ni kukurupuka na kusigina sheria.
Tuanze na kwanini bunge haliwasikilizi wapinzani.NI MH TUNDU LISU AU CHADEMA WALIO KANYAGA SHERIA?

Kwasababu chadema Ikikosa wabunge bei ya sukari itashuka siyo?Ninachofurahi Baada ya October Chadema itakuwa haina mbunge hata mmoja Mbowe Ndio akili itamkaa sawa
Hakuna haja ya kusingle out Chadema.CHADEMA hakuna Demokrasia, usipomsikiliza Mbowe, unafukuzwa chama. Chama kina wenyewe
Wanasheria munapenda kutumia latin kwa sababu ya absolute nature ya lugha hiyo ili usijesema kuna maana mbili na bhla! bhla!. Mimi najidai na hiyo latin na katika maamuzi ya CHADEMA kikubwa ni ile tunayoita 'Placentes: in bulla' pleasing the boss! Ukishatafuta kumpa comfort boss, hutaweza tena kukumbuka mkataba wako ambao ni katiba. Walipoitunga walidhani ni document ya kuwafurahisha na siyo ya kuheshimiwa.NI MH TUNDU LISU AU CHADEMA WALIO KANYAGA SHERIA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo John Munyika Katibu wa CHADEMA amewatangazia watanzania kuwa CHADEMA imewafutia Wabunge wanne uanachama. Wabunge hao ni Mh Silinde, Mh Selasini, Mh Komu na Mh Lwakatale huku Wabunge kadhaa wakiambiwa wajieleze.
Wakati kauli hiyo ikijitokeza ambayo inatokana na kile ambacho Mh Munyika amesema ni kukaidi kwa Wabunge hao kukaidi amri ya kuto kuingia Bungeni baada kukubaliana kukaa karantini kwa siku kumi na nne, Mh Silinde amejitokeza na kusema hawakupewa nafasi ya kusikilizwa.
CHADEMA kinao viongozi wengi ambao ni wasomi wazuri wa sheria akiwepo Mh LISU ambaye ni mjumbe wa kamati kuu. Mh LISU anajua kwamba *the right to fair hearing/Audi alteram partem* ni takwa la kisheria. Kuto kuwasikiliza wahalifu ni kwenda kinyume na takwa la katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katiba ya CHADEMA.
Je, Mh LISU na Chama hili hawakulizingatia? Wanadhani hawa Wabunge ukimuondoa Selasini aliyetangaza kuachana na CHADEMA baada ya Bunge hili wakienda Mahakamani hawatashinda? Sheria haijazungumza kama mwanachama anaweza kufukuzwa uanachama kiholela, Bali kwa kufuata kanuni na sheria zilizopo. Kwa kuwasaidia CDM wakasome kesi ya James F Gwagilo v AG, High Court of Tanzania at Dodoma, civil case No.23 of 1993 na Said Juma Muslim Shekimweri v AG, High Court of Tanzania at DSM, Miscellaneous civil case no.3 of 1996 iliamuliwa na Samatta J.K.
Ukiondoa hoja ya Mh Ndugai utaona namna CHADEMA walivyokurupuka Kufanya maamzi bila kuangalia sheria za Chama Chao na bila kuzingatia sheria za nchi. Ukisoma Katiba ya CHADEMA ibara ya 6(6.5.6) inasema *"Kiongozi yeyote hatachukuliwa hatu za kinadhamu bila Kwanza kupewa mashitaka kwa maandishi na mamlaka husika na kupewa nafasi ya kujibu mashitaka kwa maandishi"*. Lakini mafu gu yanayofuata yanasema mhusika atatoa utetetezi.
CHADEMA ni Chama ambacho kinatumia jina ambalo halisadifu yaliyomo. Ninadhani walipaswa kufuata sheria walizojiwekea ili waeleweke, lakini kwenda hivyo ni kukurupuka na kusigina sheria.
Nawe jiulize kwa nini wapinzani hawaungi mkono lolote/chochote cha serikali. Walishasema kazi yao ni kukosoa tu! Ukishajipa kazi hiyo ujue hutasikilizwa na yeyote.Tuanze na kwanini bunge haliwasikilizi wapinzani.
Halafu wewe utakuwa umefaidika na nn hapoNinachofurahi Baada ya October Chadema itakuwa haina mbunge hata mmoja Mbowe Ndio akili itamkaa sawa