Ni nani amekwambia kuna mtandao»»»wa JF!?

HIvi zile email sio privacy kwao?
Nimeisha😆
 
aise kama kuna changamoto hii ya email, kuna siku ukisahau password utapoteza akaunti moja kwa moja.

Pia, notifications zote email zinaenda kwenye email uliyoweka.

Tafadhali badili
Asante sana mkuu!
Kwa sasa sina uwezo wa kufikia ile email ambayo nilitumia kufungulia akaunti yangu hii.
Kwenye ku log in natumia username na password (hii password siwezi kuisahau)
Nikitaka kubadili ile email nafanya vipi? Zingatia siwezi kufikia ile email ya mwanzo
 
Tumegundua umegushi
 
Unaweza kuibadili hiyo email na kuweka ya kwako
 
Nenda kwenye profile yako, nenda sehemu imeandikwa Account details bonyeza hapo utaona email uliyoweka na neno change, utabonyeza hapo na kuweka email yako mpya unayoitaka.
 

Attachments

  • Screenshot_20260621-135650.png
    116.4 KB · Views: 14
Naibadili vipi mkuu Sina uwezo wa kufikia email niliyotumia kufungulia hii akaunti
Nenda kwenye profile yako, nenda sehemu imeandikwa Account details bonyeza hapo utaona email uliyoweka na neno change, utabonyeza hapo na kuweka email yako mpya unayoitaka.
 

Attachments

  • Screenshot_20260621-135650.png
    116.4 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…