britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
wengi ni kaskazinihabari zenu wakubwa ,matumaini yetu kikuwa nyote ni wazima wa afya, na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba,
malengo ya uzi uu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwana jamii forums bora wa mwaka katika jukwaa hasa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.
mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata
1. mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5.asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.
orodha yangu ni kama ifuatavyo ninyi mdo mtaproon tubakize kumi bora, then twende tatu bora alafu moja bora
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. Yerico nyerere
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Miss Natafta
8. kiranga
9. Technically
10. VUTA-NIKUVUTE
11.Mwanahabari huru
12. swissme
14. msemaji ukweli
15. BAK
16. Erythrocyte
17. Mr . Zero
18. Allen Kilewella
19.ocampor four
20. mzitto kabwela
21.victorie
22. vallentina
23. atoto
haimaanish ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa
Sorry, is it proon or prune! Sina uhakika-Anyway haijarishi.habari zenu wakubwa ,matumaini yetu kikuwa nyote ni wazima wa afya, na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba,
malengo ya uzi uu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwana jamii forums bora wa mwaka katika jukwaa hasa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.
mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata
1. mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5.asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.
orodha yangu ni kama ifuatavyo ninyi mdo mtaproon tubakize kumi bora, then twende tatu bora alafu moja bora
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. Yerico nyerere
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Miss Natafta
8. kiranga
9. Technically
10. VUTA-NIKUVUTE
11.Mwanahabari huru
12. swissme
14. msemaji ukweli
15. BAK
16. Erythrocyte
17. Mr . Zero
18. Allen Kilewella
19.ocampor four
20. mzitto kabwela
21.victorie
22. vallentina
23. atoto
haimaanish ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa
Ni kweli sisi wengine Tusio wa Kaskazini katutupa kapuniwengi ni kaskazini
ILISHAREKEBISHWA PIGA KURAHii umeichelewesha sana. Na kwa nini pale juu napata kitufe cha The Boss na FF tuu?