Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni

Results are only viewable after voting.

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Habari zenu wakubwa,

Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.

Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF bora wa mwaka hasa jukwaa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.

Mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata;

1. Mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. Mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. Mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5. Asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. Mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.

Orodha yangu ni kama ifuatavyo, ninyi ndio mtapiga kura kwenye poll na kupata mshindi;

1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. BAK
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Heaven sent
8. Victorie
9. Technically
10. Mshana jr

Haimaanishi ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa.

PIGA KURA YAKO.
 
habari zenu wakubwa ,matumaini yetu kikuwa nyote ni wazima wa afya, na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba,
malengo ya uzi uu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwana jamii forums bora wa mwaka katika jukwaa hasa la siasa, mambo ya kimataifa na mengineyo.
mambo yafuatayo ndiyo vigezo vitakavyotumika kumpata
1. mwenye hoja na uchambuzi mzuri wa masuala yanayohusu taifa letu kwa ujumla
2. Anayechambua mambo ya kisiasa kwa wigo sawa bila kuegemea au kupendelea upande wowote ule, kaka ni CHADEMA au CCM au CUF yuko tiyari kukosoa kwa hoja haijarishi ni chama chake
3. mwenye nidhamu juu ya majibu anayowapa wengine na mwenye kujibu bila kubagua au kukejeli wengine na kuwadharau au kuwatamkia matusi(makosa yanayopelekea ban)
4. mwenye michango mingi ya kuelimisha jamii,
5.asiye mdini au mkabila wala asiyechanbua kwa kupendelea kabila/dini yake na kukashfu za wengie,
6. mwenye kuheshimu wengine na mamlaka ya nchi haijarishi kamchagua kiongozi aliyeko madarakan au lah.

orodha yangu ni kama ifuatavyo ninyi mdo mtaproon tubakize kumi bora, then twende tatu bora alafu moja bora
1. The Boss
2. Faiza foxy
3. Mzee mwanakijiji
4. Yerico nyerere
5. Lizaboni
6. Pasco
7. Miss Natafta
8. kiranga
9. Technically
10. VUTA-NIKUVUTE
11.Mwanahabari huru
12. swissme
14. msemaji ukweli
15. BAK
16. Erythrocyte
17. Mr . Zero
18. Allen Kilewella
19.ocampor four
20. mzitto kabwela
21.victorie
22. vallentina
23. atoto

haimaanish ambao hawajawekwa hawakuchangia hapana wamechangia sana ila kwa mwaka huu hawakufika viwango vya hawa hapa
wengi ni kaskazini
 
Sorry, is it proon or prune! Sina uhakika-Anyway haijarishi.
 
Hii umeichelewesha sana. Na kwa nini pale juu napata kitufe cha The Boss na FF tuu?
 
Kajipange... Umekurupuka na hufai kuwa jaji... Kuna watu ambao ni 'the most hated' kama Lizaboni sijui umemtoa wapi,
Miss Natafuta kawaida yake kulia lia na kutendwa, sijawahi ona mada yake ya kuelimisha, Faiza Fox ni mdini, mbaguzi na ana majibu ya toilet Pepa, The boss ameimprove, naye zamani alikuwa mvivu kuchangia mada ila tangu tumsimange amejirekebisha, Mwana habari huru huyu nahisi ni buku saba wa Chadema... Kifupi list yako haina jipya...
 
kuna majina ulioyaweka hapa hayajawahi kuchambua chochote achilia mbali kujaribu kuchambua. Lakini nilichoona hapo ni kwamba majina hayo inawezekana ni Zile ID'S zako za Siri. Ukimtoa Lizaboni, faiza, the boss, BAK na Msema kweli..hao wengine ni hovyo tu.. Sasa una muondoa Mtu kama Mshana Jr unamuweka Swisse me!! una muacha Heaven Sent unamuweka Miss natafuta. Sasa kama sio uchizi ni nini!! List ya watu hovyo kuwahi kutokea
 
Ocampo four was last seen:
Jun 4, 2016
Ulitumia vigezo gani kuwapata hawa KUMI? Ocampo four mara yake ya mwisho kuchangia ilikuwa ni june mwaka huu.

britanicca
 
Back
Top Bottom