Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Kulipa mahari ni udhalilishaji wa mwanamke!!!! Tupige vita hii mila, desturi, taratibu and whatever you call it!!!!Ndugu zangu .
Hivi ni nani anayepaswa kulipa mahari ili binti aolewe.
1: Je, ni kijana anayetaka kuoa ndiye anaye lipa
2: Au ni Baba mzazi wa kijana anayeoa ndiye anayemlipia kijana wake mahari ili aoe binti aliyempenda
MuowajiNdugu zangu .