Ni nani anayeteua Makocha wa Timu ya Taifa na anatumia vigezo gani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili ni swali ambalo wengi bila shaka wanajiuliza, na wangependa kufahamishwa.

Kwa mfano ni vigezo gani vilifuatwa kuteua kocha wa Timu ya soka ya Tanganyika iliyopachikwa jina la uongo la Tanzania Bara, inayoshiriki Mapinduzi Cup?

Nadhani ndio kocha mbovu kuwahi kuhudumu tangu kuumbwa kwa Tanganyika.

Kama ni mpwa wa Karia au ndugu yake hiyo haihusiani chochote na sisi wenye timu yetu, Hizi aibu tunazotiwa huko Nchini Zanzibar iko siku zitazua balaa
 
Anyateua ni Karia na jopo lake la wapigaji. Kigezo kikuu kwa makocha wanaotoka nje ni utayari wao tu wa kutoa 10% kwa Karia na wapigaji wenzake. Na kwa makocha wa ndani, kigezo kikuu ni kipaji tu cha kuweza kuwahamasisha wachezaji nje na ndani ya uwanja.
Duuuuh!!
 
Upigaji ni mwingi sana, na hiyo ndo njia wanayotumia kupata makocha, hivi kweli Tanzania yote vilabu vya ligi kuu tunashindwa kupata wachezaji 25 wa maana kwa ajili ya timu ya Taifa? Wakati mwingine nawaza si heri iundwe club moja ya wachezaji wa ndani tu inakuwepo na kukaa kambini mda wote ili wajuane vizuri, vilabu vyetu vikubwa timu inaunda karibia miaka miwili kupata chemistry ya wachezaji ila kwa Taifa stars week moja tu halafu wanaingia kwenye mechi.
 
Hili ni swali ambalo wengi bila shaka wanajiuliza, na wangependa kufahamishwa.

Kwa mfano ni vigezo gani vilifuatwa kuteua kocha wa Timu ya soka ya Tanganyika iliyopachikwa jina la uongo la Tanzania Bara, inayoshiriki Mapinduzi Cup?

Nadhani ndio kocha mbovu kuwahi kuhudumu tangu kuumbwa kwa Tanganyika.

Kama ni mpwa wa Karia au ndugu yake hiyo haihusiani chochote na sisi wenye timu yetu, Hizi aibu tunazotiwa huko Nchini Zanzibar iko siku zitazua balaa
Hakuna timu hapo
 
Kabla ya kulaumu kocha na wachezaji hakikisheni kuwa m aushahidi wakutoaha kuwa wachezaji na kocha walilipwa posho zao
 
Upigaji ni mwingi sana, na hiyo ndo njia wanayotumia kupata makocha, hivi kweli Tanzania yote vilabu vya ligi kuu tunashindwa kupata wachezaji 25 wa maana kwa ajili ya timu ya Taifa? Wakati mwingine nawaza si heri iundwe club moja ya wachezaji wa ndani tu inakuwepo na kukaa kambini mda wote ili wajuane vizuri, vilabu vyetu vikubwa timu inaunda karibia miaka miwili kupata chemistry ya wachezaji ila kwa Taifa stars week moja tu halafu wanaingia kwenye mechi.
Mtazunguka weee bottom line m ashindwa ata kucopy and paste wanachofanya ulaya....sie foundation zeru mbovu na tamaa mbeleee
 
Kubalini ukiacha simba,yanga,azam,wachezaji wengi wengine ni hovyo
Kwani wachezaji wa zanzibar wanacheza vilabu gani? Mashujaa wamechangia wachezaji 5 kwenye team ya Zanzibar na wanne kati yao ni first 11.
 
Back
Top Bottom