Ni nani anayeteua Makocha wa Timu ya Taifa na anatumia vigezo gani?

Ni nani anayeteua Makocha wa Timu ya Taifa na anatumia vigezo gani?

Jina la Kocha wa Tanganyika ni nani kwani? Amijiharibia sana sehemu kama hizo ndio za kuonyesha uwezo ulionao.
 
Hili ni swali ambalo wengi bila shaka wanajiuliza, na wangependa kufahamishwa.

Kwa mfano ni vigezo gani vilifuatwa kuteua kocha wa Timu ya soka ya Tanganyika iliyopachikwa jina la uongo la Tanzania Bara, inayoshiriki Mapinduzi Cup?

Nadhani ndio kocha mbovu kuwahi kuhudumu tangu kuumbwa kwa Tanganyika.

Kama ni mpwa wa Karia au ndugu yake hiyo haihusiani chochote na sisi wenye timu yetu, Hizi aibu tunazotiwa huko Nchini Zanzibar iko siku zitazua balaa
Angalia majina yao utapata jibu haraka kama wewe ni GT
 
Back
Top Bottom