Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Duuuuh!!Anyateua ni Karia na jopo lake la wapigaji. Kigezo kikuu kwa makocha wanaotoka nje ni utayari wao tu wa kutoa 10% kwa Karia na wapigaji wenzake. Na kwa makocha wa ndani, kigezo kikuu ni kipaji tu cha kuweza kuwahamasisha wachezaji nje na ndani ya uwanja.
Tutahakikisha hili jambo linakomeshwaMgunda ndiye aliyekuwa anapaswa kuongoza jahazi lile ila sijui imekuwaje wazee wa 10% wamemkata.
Upigaji ni mwingi sana, na hiyo ndo njia wanayotumia kupata makocha, hivi kweli Tanzania yote vilabu vya ligi kuu tunashindwa kupata wachezaji 25 wa maana kwa ajili ya timu ya Taifa? Wakati mwingine nawaza si heri iundwe club moja ya wachezaji wa ndani tu inakuwepo na kukaa kambini mda wote ili wajuane vizuri, vilabu vyetu vikubwa timu inaunda karibia miaka miwili kupata chemistry ya wachezaji ila kwa Taifa stars week moja tu halafu wanaingia kwenye mechi.Anyateua ni Karia na jopo lake la wapigaji. Kigezo kikuu kwa makocha wanaotoka nje ni utayari wao tu wa kutoa 10% kwa Karia na wapigaji wenzake. Na kwa makocha wa ndani, kigezo kikuu ni kipaji tu cha kuweza kuwahamasisha wachezaji nje na ndani ya uwanja.
Haya sawa , hakikisha tuone.Tutahakikisha hili jambo linakomeshwa
Mgunda ni bora kuliko lakini Karia na TFF yake hawaoni mbele,kocha kama Mgunda huwa inajua kuibua wachezaji wenye vipajiMgunda ndiye aliyekuwa anapaswa kuongoza jahazi lile ila sijui imekuwaje wazee wa 10% wamemkata.
Hakuna timu hapoHili ni swali ambalo wengi bila shaka wanajiuliza, na wangependa kufahamishwa.
Kwa mfano ni vigezo gani vilifuatwa kuteua kocha wa Timu ya soka ya Tanganyika iliyopachikwa jina la uongo la Tanzania Bara, inayoshiriki Mapinduzi Cup?
Nadhani ndio kocha mbovu kuwahi kuhudumu tangu kuumbwa kwa Tanganyika.
Kama ni mpwa wa Karia au ndugu yake hiyo haihusiani chochote na sisi wenye timu yetu, Hizi aibu tunazotiwa huko Nchini Zanzibar iko siku zitazua balaa
Kabla ya kulaumu kocha na wachezaji hakikisheni kuwa m aushahidi wakutoaha kuwa wachezaji na kocha walilipwa posho zaoHili ni swali ambalo wengi bila shaka wanajiuliza, na wangependa kufahamishwa.
Kwa mfano ni vigezo gani vilifuatwa kuteua kocha wa Timu ya soka ya Tanganyika iliyopachikwa jina la uongo la Tanzania Bara, inayoshiriki Mapinduzi Cup?
Nadhani ndio kocha mbovu kuwahi kuhudumu tangu kuumbwa kwa Tanganyika.
Kama ni mpwa wa Karia au ndugu yake hiyo haihusiani chochote na sisi wenye timu yetu, Hizi aibu tunazotiwa huko Nchini Zanzibar iko siku zitazua balaa
🤣🤣🤣🤣Kubalini ukiacha simba,yanga,azam,wachezaji wengi wengine ni hovyo
Mtazunguka weee bottom line m ashindwa ata kucopy and paste wanachofanya ulaya....sie foundation zeru mbovu na tamaa mbeleeeUpigaji ni mwingi sana, na hiyo ndo njia wanayotumia kupata makocha, hivi kweli Tanzania yote vilabu vya ligi kuu tunashindwa kupata wachezaji 25 wa maana kwa ajili ya timu ya Taifa? Wakati mwingine nawaza si heri iundwe club moja ya wachezaji wa ndani tu inakuwepo na kukaa kambini mda wote ili wajuane vizuri, vilabu vyetu vikubwa timu inaunda karibia miaka miwili kupata chemistry ya wachezaji ila kwa Taifa stars week moja tu halafu wanaingia kwenye mechi.
Kwani wachezaji wa zanzibar wanacheza vilabu gani? Mashujaa wamechangia wachezaji 5 kwenye team ya Zanzibar na wanne kati yao ni first 11.Kubalini ukiacha simba,yanga,azam,wachezaji wengi wengine ni hovyo
Zanzibar Wana timu gani ya maana?Kwani wachezaji wa zanzibar wanacheza vilabu gani? Mashujaa wamechangia wachezaji 5 kwenye team ya Zanzibar na wanne kati yao ni first 11.
Nchi nzima hakuna makocha tofauti ya hayo majina huo ni ujingaMgunda ndiye aliyekuwa anapaswa kuongoza jahazi lile ila sijui imekuwaje wazee wa 10% wamemkata.
Ndio maana sinaga muda na ligi kutazama ambayo wanaisfia wakati hakuna kituKubalini ukiacha simba,yanga,azam,wachezaji wengi wengine ni hovyo