Ni Nani anayumbisha Serikali, Nani alitoa go ya kumtukana mama, Nani anayetaka Bashe aanguke, Nani anataka biashara K koo isimame?Nani?

Waliokatiwa mirija bandarini na kwenye sukari.

Huwajuwi waliokuwa mstari wa mbele kupinga bandari wasipewe DP World kuiendesha? Umevisahau vibandiko kama vya mayahudi na kanzu zenye rangi mojawapo ya upinde?
 
February Marope au kipara na genge lake ndio liko nyuma ya Kila siasa chafu inayoendelea....anataka peke yake ndio abaki msafi (bila sekeseke) ili eti awe na sifa za kumrithi Bi. Kizimkazi
 
Bi ushungi ni dhaifu mno,she's misfit to the position.
 
Uongozi mbaya
 
Wafanyabiashara kariakoo wamechelewa sana kufunga biashara zao.walitakiwa wakatae toka kipindi kile walipoahidiwa ahadi hewa na chief mpambalioto wa magogoni kuhusu kero walizoziwasilisha kipindi hicho mpambalioto aliwadanganya Kwa kuunda kamati uchwara ya kutatua kero matokeo yake hakuna kero hata Moja iliyotatuliwa.kodi lukuki kwenye mizigo.kodi mtukate kubwa lakini faida ya Kodi hatuzioni zaidi ya chief hangaya kuzitumia Kwa safari za ulaya kwenye dream liner letu peke yake na wasaidizi wake ambao Hawazidi hata 10.kariakoo aluta continua....
 
Kunani ndugu Jemedari🫠
 
Kwa nini maswali yako yote yanakuwa ya "nani" ?
 
Karibu chianteng limited ni wauzaji wa Truck za HOWO Kwa Bei Nzuri

Pia tunazo SPARE PARTS ZOTE ZA HOWO,

Pia tuna mafundi waliobobea katika utengenezaji wa truck za HOWO.

Karibu sana

📍Tupo Kurasini opposite na Chuo Cha Diplomasia

☎️0748 270 719
 
Viongozi wao ni CCM tupu na majangili ya mali za umma
 
There is no victory, why continua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…