Ni Nani anayumbisha Serikali, Nani alitoa go ya kumtukana mama, Nani anayetaka Bashe aanguke, Nani anataka biashara K koo isimame?Nani?

Hakuna demokrasia yeyote Duniani Raisi hatukanwi kama ipo nchi ya demokrasia Rais hatukanwi nionyeshe. Nenda hapo Kenya au kasome wanayosema kuhusu Rutto🤔
 
Busara ya kuteua Marehemu au!?
 
Tunahitaji tufundishe wananchi wetu wajadili na kuamua kwa hoja zenye mantiki. Ushawishi wa kubagua jinsia, kabila, kanda au eneo atokalo mtu na propaganda, hauna faida wala maana kwa ujenzi wa taifa.
 
CHAWA wasio na akili mmekuwa wawili!!

Vita dhidi ya Ushoga inaendelea kuwa ngumu
 
Waliokatiwa mirija bandarini na kwenye sukari.

Huwajuwi waliokuwa mstari wa mbele kupinga bandari wasipewe DP World kuiendesha? Umevisahau vibandiko kama vya mayahudi na kanzu zenye rangi mojawapo ya upinde?
Allah kawatelekeza watambikaji kule Meccah!! Zaidi ya elfu Moja wanakula adhabu kule ahera
 
Ni mafisadi ,mama ayafyeke apunguze huruma za kisengerema.Bila kudedisha Baadhi ya wapuuzi heshima Huwa haiji
 
Kati ya hao majemedari wake wote ni Mwendawazimu tuu anayeweza kuamini Madelu ni msafi.
Tangu alipokuwa waziri kwenye wizara zote hakuwa msafi mpaka Magu akamtema akabaki na karata moja tuu ya kumtusi Lema Ili ajipendekeze kwenye Mamlaka za uteuzi .
 
Ila kuna upigaji sawa sawa tena kwa kikundi kidogo cha watu
 
By wananchi tunaotaka uwajibikaji.
 
Mkuu ukiwa kwenye systeam ya biashara ndo utajua kwanini tunagoma.jiji mikodi kibao,leseni,service levi,ushuru wa taka,tra nao kodi kibao....
 
Maza ameshindwa kuongoza nchi tuache visingizio
Kuongoza nchi ni rahisi mno kama unaowaongoza wote wako pamoja na wewe, hata wewe unao uwezo wa kuongoza nchi. Hata hivyo, ni ngumu sana kuongoza nchi kunapokuwa na kundi pinzani limejificha nyuma ya pazia huku likiwa na nguvu kubwa; ni shida tupu
 
Shida amekubatia mafisadi
 
Kuongoza nchi ni rahisi mno kama unaowaongoza wote wako pamoja na wewe, hata wewe unao uwezo wa kuongoza nchi. Hata hivyo, ni ngumu sana kuongoza nchi kunapokuwa na kundi pinzani limejificha nyuma ya pazia huku likiwa na nguvu kubwa; ni shida tupu
Mama anapaswa kujipanga kukabili hii threat mpya! Anapaswa kuisimamia system ifanye kazi, watu wengi waliomzunguka ndio wanaotaka aanguke...
Anahitaji sana busara za Kikwete katika kipindi hiki...
Natabiri wimbi kali mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…