Huwajuwi waliokuwa mstari wa mbele kupinga bandari wasipewe DP World kuiendesha? Umevisahau vibandiko kama vya mayahudi na kanzu zenye rangi mojawapo ya upinde?
Hata kama ni wao lakini Mpina ametoa ushahidi au hajatoa? Na je ushahidi Una mashiko au ni irrelevant evidence?
Tusijisahaulishe kimakisudi bali tuwe tayari kutetea uwajibikaji wa viongozi na ulindaji wa pesa ya wananchi.