Ni Nani anayumbisha Serikali, Nani alitoa go ya kumtukana mama, Nani anayetaka Bashe aanguke, Nani anataka biashara K koo isimame?Nani?

Waliokatiwa mirija bandarini na kwenye sukari.

Huwajuwi waliokuwa mstari wa mbele kupinga bandari wasipewe DP World kuiendesha? Umevisahau vibandiko kama vya mayahudi na kanzu zenye rangi mojawapo ya upinde?
Hata kama ni wao lakini Mpina ametoa ushahidi au hajatoa? Na je ushahidi Una mashiko au ni irrelevant evidence?
Tusijisahaulishe kimakisudi bali tuwe tayari kutetea uwajibikaji wa viongozi na ulindaji wa pesa ya wananchi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Ushahidi alioytowa ndiyo uliotakiwa na Spika? Wacha kukurupuka, bunge lina sheria na kanuni zake.
 
Back
Top Bottom