William Mwita
Member
- Oct 29, 2023
- 96
- 74
Sawa kiongozi usijali Anaepokea malipo ni nani? sababu hii ni kampuni kubwa hatuwezi shindwa kulipiaLipia tangazo lako acha kujaza server ya watu bure
Pia nakukaribisha ofisini kwetu Kwa huduma Nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kiongozi usijali Anaepokea malipo ni nani? sababu hii ni kampuni kubwa hatuwezi shindwa kulipiaLipia tangazo lako acha kujaza server ya watu bure
Hapo sawa mkuu, mi nitafika soonSawa kiongozi usijali Anaepokea malipo ni nani? sababu hii ni kampuni kubwa hatuwezi shindwa kulipia
Pia nakukaribisha ofisini kwetu Kwa huduma Nzuri
🙏🏾 Karibu sanaHapo sawa mkuu, mi nitafika soon
Hakuna noma faza nitafika, mkopo unaruhusiwa?🙏🏾 Karibu sana
☎️0748 270 719
Naam,Hakuna noma faza nitafika, mkopo unaruhusiwa?
Poa poa mwambaNaam,
Karibu
Koma kabisa kutuhusisha Wasukuma na failures za huyo malkia wenu wa anga koma kabisaaaaa !!!!!Wakuu salaam!
Naweza kupingana na mama sehemu nyingi ila kuna mambo ya kimaslahi kitaifa siwezi kupinga. Mama ana mapungufu yake ila???
Ila??
Nani anayetaka wafanyabiashara Kariakoo wagome na kwanini?
Ni Nani huyo anayetaka kunyonga koo la uchumi wa nchi na kwanini?
Wasukuma bwana! Hawajawahi kumheshimu mwanamke!
Wanaongea tu kinafiki ila kwenye mioyo yao wanatamaani mwanamke aanguke!
Yes yes! Naongelea Sukuma gang'
Maana Kuna mtu anaitwa Musukuma aliongelea kidogo sakata la wafanyabiashara Kariakoo halafu kidogo mambo yanakuwa mambo!
Watu wanataka kumchanganya mama, wanataka kuangusha nguzo zake zote!
Wameanza na Bashe, huku anapigwa Nape.. Mwigulu yuko kwenye kikaango.. Wanaopiga wote wako ndani ya Chama na ndani ya bunge...
Kwanini wanapiga muda huu? Je, haya mapigo ndio yao ya mwanzo na mwisho? Nop! Hawa watu wapo strategic na haya sio mapigo ya mwanzo tu! Wanajua jinsi ya kuangusha mamlaka na huu ni mwanzo tu! Mambo mazito yanakuja mbele.
Binafsi natamaani stability kwenye nchi! Sikupenda financing strategy ya hizi flagship projects na hata baadhi ya projects zenyewe sikuzipenda.
Ila Kuna jambo natambua! Wakati mama anaingia, hizi flagship projects zote zilikuwa katikati na tayari tulishatumia hela nyingi, za ndani za mikopo whatever.. Hazikupaswa kusimama!
Sasa mama angefanyaje? Uchumi ulikuwa mtaroni na madeni ya kuona!
Angefanyaje?
Mimi namshauri mama! Linda majemedari wako wa karibu, angalia maadui wako vizuri maana mnasalimiana kila siku.. Kisha tumia busara ongoza nchi!
Tupangie safu yako basiMaza ameshindwa kuongoza nchi tuache visingizio
Mimi hapaWakuu salaam!

NI CCM MKUU ACHA KUJIZIMA DATAWakuu salaam!

Ukweli umeongea, Kodi inakatwa kwenye nini? TRA watoe formula wao wanakataje... Na Kisha tuwe na mjadala wa pamoja. Mgomo haufanyi chochote kati ya hayo mamboKuna namna inatakiwa kupitia sheria za TRA katika utendaji wa kazi zao ,naona kama TRA ipo pale sio kumjenga mfanyabiasha bali kumkamua , ufanyike utafiti wa kina kutoka nchi nyingine wao wanafanyaje , tusijifungie ndani nakutafuta mchawi , Kenya wao mamlaka yao ya mapato inafanyaje kazi ? Pamoja na uchumi wao kuwa juu kuliko wetu
TRA ndo chanzo cha matatizo yote , wao wanachojua ni kukusanya bila kuangalia upande mwingine wa shilingi , biashara chini ya TRA nchi hii nikujitafutia ugonjwa wa moyo na hii ni kwa tz nzima
Shida serikali yako inamazalau , swala apa sio kulaum mgomo swala kero zao zimetaturiwa kwa kiasi gani ? Kama hamna tangu mazungumzo ya awali unataka wafanye nini?Ukweli umeongea, Kodi inakatwa kwenye nini? TRA watoe formula wao wanakataje... Na Kisha tuwe na mjadala wa pamoja. Mgomo haufanyi chochote kati ya hayo mambo
Mgomo ni njia tu ya anayegoma kupata attention ya kusikilizwa. It's a PROTESTUkweli umeongea, Kodi inakatwa kwenye nini? TRA watoe formula wao wanakataje... Na Kisha tuwe na mjadala wa pamoja. Mgomo haufanyi chochote kati ya hayo mambo