komaa
hakuna wa kubadirisha maisha yako,ni wewe mwenyewe,hata tukiletewa Rais Mhindi kama hupigi kazi kwa kujituma hakuna kitakachobadirika.
tunalalamika,oooooh wachanga wanapesa,ndio wanajituma
hakuna wa kubadirisha Maisha yako zaidi yako binafsi
sasa nikome nini jamani? mim nimeuliza, ni nani atabadilisha maisha ya mtanzania? sasa kama mim nina kipato cha kutosha maisha ya watu hawa wanaokalia mawe yatabadilika vip? je wewe umewahi kubadisha maisha ya jamii yeyote hapa nchini? kama kila mtu ni chanzo cha mabadiliko sasa kwanini mambo kama haya bado yapo kwenye jamii? tafakari,..haki elimu!!lol
komaa
hakuna wa kubadirisha maisha yako,ni wewe mwenyewe,hata tukiletewa Rais Mhindi kama hupigi kazi kwa kujituma hakuna kitakachobadirika.
tunalalamika,oooooh wachanga wanapesa,ndio wanajituma
hakuna wa kubadirisha Maisha yako zaidi yako binafsi
Sisi tukifanya tunafanya chini ya kiwango...UDOM imejengwa hata miaka kumi haijaisha tayari majengo yana nyufa kibao...na limetengwa fungu tayari kwa ajili ya ukarabati...barabara ya morroco magomeni imejengwa hata mwaka mmoja haujaisha lami ikaanza kuyeyuka kama asali na kubanduka...unategemea tunaweza???hahahahaha mpaka kwenye hiliii?? kazi ipo
wanajaza shule wakati zilizokuepo hazija kamilika!
watoto wanafauru bajeti inapungua! tunaempenda hatumchagui! Na tunaemchagua ha2mwamini tutabadilika kweli? never!!!!..
Tunawasubiri wawekezaji waje watujengee...usiwe na wasiwasi.....